Nimeteuliwa Ukuu Wa Wilaya...!!!

kaeso

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
551
96
Nimerudi zangu toka kazini na kufikia katika sofa hapa sebuleni kwangu. Nikaamua kuwasha ka-tv kangu ka nchi kumi na nne ili nijiburudishe na kupata taarifa. Baada ya muda nasikia sauti ya Pinda ikitaja majina ya wakuu wa wilaya wapya. Baada ya kutajwa majina kwa mshituko nikasikia na jina langu ni mojawapo ya majina yaliyopo. Nilipatwa na furaha na kuruka juu kwa furaha............kushtuka kumbe nilikuwa naota na TV ilikuwa ikionyesha tukio la kutangazwa wakuu wapya wa wilaya..........NDOTO HIZI...!!!!!
 
Duuh pole! kadhia yote hiyo we mrushie lawama ****** maana ni hali ngumu tu ndo inakupa ndoto zenye matamanio ya nafasi ya kupiga ufisadi.
 
Nimerudi zangu toka kazini na kufikia katika sofa hapa sebuleni kwangu. Nikaamua kuwasha ka-tv kangu ka nchi kumi na nne ili nijiburudishe na kupata taarifa. Baada ya muda nasikia sauti ya Pinda ikitaja majina ya wakuu wa wilaya wapya. Baada ya kutajwa majina kwa mshituko nikasikia na jina langu ni mojawapo ya majina yaliyopo. Nilipatwa na furaha na kuruka juu kwa furaha............kushtuka kumbe nilikuwa naota na TV ilikuwa ikionyesha tukio la kutangazwa wakuu wapya wa wilaya..........NDOTO HIZI...!!!!!

Labda kale kamsokoto ka ganja, kalikuwa at work.
 
Hahahhaaaaa ningekuwa mimi ndo wewe nisingeamka hadi ndoto iwe kweli....
 
....wakuu wa wilaya wamo humu.... Na wasichekelee hizo post... Ni zigo la miba. M4C yawasubiri vituoni.
 
Back
Top Bottom