Nimetengwa na wana jf??? Au inamaana pekeyangu???

Ibrashinto

Senior Member
Jul 3, 2012
123
6
Nimechaguliwa SAUT-BUKOBA branch sijawahi kufika uko na wala sifahamu panafanana vipi. msaada kwa wengine ambao kama wamechaguliwa uko au ata kama kuna mtu ndugu au rafiki amechaguliwa uko! NAOMBA SANA SANA SAAANA MSAADA WENU WANA JF TUWASILIANE nibip au nitumie ujumbe (sms) 0773109915
 
Hahaha! Unaulizia hadi huduma ya soko? Unahamishia genge huko pia? Kha!
Unge-google chuo chao, ukipata namba ya simu wapigie uwaulize yote.
 
Hahaha! Unaulizia hadi huduma ya soko? Unahamishia genge huko pia? Kha!
Unge-google chuo chao, ukipata namba ya simu wapigie uwaulize yote.

niki- google napata mwanza main campas alafu na nahisi wanatumia website moja kwa maana matangazo yote yametolewa kupitia website ya main campus mwanza
 
we Ibrashinto njoo uone wenzako tukigoogle na kupata habari mushadadi...Mimi baada ya kugogle nimepata vitu hivi, wasiliana na Askofu Kilaini na hizi ndio contacts zake, ngoja nikutupie picha za mazingira ya chuo ili usije kwenda kushangaa shangaa huko Katerero;

Contact Name:Method Kilaini
Address:Jamhuri Road
City:BUKOBA
State:Kagera Region
Zip:Private Bag
Phone:+255786262836
E-mail:mkilaini@gmail.com

Kuna contacts nyingine hizi hapa nimezipata kwa kugoogle pia;

SAUT – BUKOBA CENTRE:
P.O.PRIVATE BAG, BUKOBA.
Msgr. Deogratias Rweyongeza
0752 451 773 / 0784 451 773

Prof. Joseph Meli Kamugisha,
0784 940 869, e-mail:kamugishaj@aol.com

Kwa maelezo zaidi tembelea hii link http://bukobadiocese.catholicweb.com/index.cfm/NewsItem?ID=290857&From=Home
 
Last edited by a moderator:
SAUT-Bukoba(1).jpg

SAUT-Bukoba(3).jpg

SAUT-Bukoba(4).jpg

SAUT-Bukoba(7).jpg

SAUT-Bukoba(8).jpg

SAUT-Bukoba(9).jpg

SAUT-Bukoba.jpg
 
we Ibrashinto njoo uone wenzako tukigoogle na kupata habari mushadadi...Mimi baada ya kugogle nimepata vitu hivi, wasiliana na Askofu Kilaini na hizi ndio contacts zake, ngoja nikutupie picha za mazingira ya chuo ili usije kwenda kushangaa shangaa huko Katerero;

Contact Name:Method Kilaini
Address:Jamhuri Road
City:BUKOBA
State:Kagera Region
Zip:Private Bag
Phone:+255786262836
E-mail:mkilaini@gmail.com

Kuna contacts nyingine hizi hapa nimezipata kwa kugoogle pia;

SAUT – BUKOBA CENTRE:
P.O.PRIVATE BAG, BUKOBA.
Msgr. Deogratias Rweyongeza
0752 451 773 / 0784 451 773

Prof. Joseph Meli Kamugisha,
0784 940 869, e-mail:kamugishaj@aol.com

Kwa maelezo zaidi tembelea hii link Bukoba Catholic Diocese at P.O., Bukoba, KR Private Bag TZ - PRIESTS ADDRESSES AND PHONE Nos

Nashukuru sana mkuu lakini hii ni dioces ya katoriki inajitegemea nilisha wahi kuongea nae sana huyu askofu kilain kipindi kile silioni jina langu katika list yao
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru sana mkuu lakini hii ni dioces ya katoriki inajitegemea nilisha wahi kuongea nae sana huyu askofu kilain kipindi kile silioni jina langu katika list yao

Na hawa je?

SAUT – BUKOBA CENTRE:
P.O.PRIVATE BAG, BUKOBA.
Msgr. Deogratias Rweyongeza
0752 451 773 / 0784 451 773

Prof. Joseph Meli Kamugisha,
0784 940 869, e-mail:kamugishaj@aol.com
 
Back
Top Bottom