Nimetembea na shem pasipo kujua

Jamani wanaume jifunzeni basi hata kidogo kuwa Expensive.. yaani mko soooo cheap!! Imagine dada kakubeep tu kidogo hana sehemu ya kupumzika ushakaribisha hadi hotelini mwee.. Badilikieni bana mnaboa!
Mh! wewe nawe kuna wengine ni mouth concrete anasubiri kuanzwa yeye, sasa ikitokea hiyo nafasi na ukame ni mkubwa si ndo mtu anaona hawezi kulaza damu?
 
Dah...wote mnamakosa..kaka kuwa na nyumba ndogo wakati ana nyumba kubwa..pia wewe ni malaya..huwezi kutembea na mwanamke aliyetembea na ndugu yako, kama ni mgonjwa, si wote mnaondoka. pia wewe umesaliti penzi lako, coz lazima utakuwa na demu wako.. Wote tabia zenu chafu, na adhabu yenu ni moto melele. Acheni haraka hiyo tabia na mkatubu kwa Mungu wenu msamehewe
 
Kha hii nyumba ndogo kiboko! Yaani imewachanginyi wote! lakini kaka yako akae pembeni bana akuachie kijana tena afanye kimya kimya...............ukiona anakuleta za kuleta mwambie utamjulisha shem wako! a.k.a mkewe! .................Dawa ndogo tu!
 
Nenda nyumbani kwake ukamwombe mkewe akuombee msamaha kwa kitendo ulichofanya na kama una mke itapendeza mkiongozana ili mkamalize hii issue kwa usalama zaidi.
 
Kwahiyo unataka kuniambia kuwa kuna familia ambazo mambo kama haya ni ya kawaida Gazeti?
Ni kawaida sana wewe jaribu kufuatilia watoto wanaozaliwa katika nyumba ambazo wazazi au walezi wao wanauzia pombe za kienyeji, bila shaka utakubaliana na mimi kuwa malezi ni kitu muhimu sana!
 
Nenda nyumbani kwake ukamwombe mkewe akuombee msamaha kwa kitendo ulichofanya na kama una mke itapendeza mkiongozana ili mkamalize hii issue kwa usalama zaidi.
Mkubwa hapa umeua na kumaliza kabisa ushauri hakuna mwingine wa kumpa tena huyu jamaa
 
Kumbew nyumba ndogo mi nilijua wa ndoa uyo endelea 2 kumega kisela haina noma bro akikuzingua nendakamshitakie kwa mkewe
 
Back
Top Bottom