Nimetembea na shem pasipo kujua

na ww zaa nae muwatonye na wanaukoo wote wakazae nae, mtengeneze hebarium ya ukoo!hongereni sana kwa kupata mwanamke mwenye ushiikiano na ukoo mzima!
 
Pole sana,lakini huyo mwanamke sie kabisa sababu ikiwa ww hukujua je huyo mwanamke hakujua kama ana mwanamme mwengine?
au hukuwahi kumuliza kama anamwanamme mwengine na walishamalizana au bado? ukisema unampenda yani keshakuchanganyeni kama unawangano bado unasema unampenda,mwenzetu umepewa nini ulokua hjawahi kupewa mpaka ukawa mpofu kiasi hicho? chamsingi nikuachana nae uanze mbele kama amawachanganya na kaka yako umejua kesho atakuchanganya na rafiki yako,huyo mwanamke keshakua kiti cha sinema anae kuja anampisha,chamsingi angalia maisha yako usigombane na kaka yako eti kisa mwanamke usifanye,wanasema kizuri kula na nduguyo.
 
kaka tumbo moja kweli? Labda uniambie baba/mama mkubwa na mdogo nitaelewa.
Huyo binti hafai na huyo kaka pia hafai. Kapime afya yako kwanza.
 
Wa ndg.msianze kumjia juu huyu bwana!taarifa yake haijitoshelezi!kama ni nyumba ndogoya kaka yake,je alikua anafahamu kabla ya ku move nae? nawashangaa watu wanao comment sijui mna pepo la ngono sijui nini,kuna wimbo mmoja wa msanii wa bongo fleva unaimba hivi " hajawahi kuwa na demu lakini alikufa kwa ngoma " so kila mtu anajifanya hana demu ila ki ukweli kama tungeweza kuona nafs zenu tungewakuta wengine mna nyumba ndogo au kama bado hamjaoa au kuolewa zaidi ya moja! anaemuona huyu bwana ana pepo la ngono ausemee kwanza nafsi yake kabla ya kumsema mtu aliyeomba ushauri!

Cha msingi tumshauri na tumsimlaumu!haya mambo yapo na yataendelea kuwepo.
 
Kaka yako arudi kwa mkewe, atulie na we utafute mwanamke aliye2lia wa kuoa! Mwanamke atawaua huyo! Usikute kuna mijamaa mingine zaidi yenu!
 
aaah, kwa hiyo huyo dada kawafanya kitega uchumi? anasemaje umemuharibia maisha huku umesema ni mchumba wako, ina maana alikuwa anataka aendelee kula kotekote? some ladies, verty strange.
 
Kaka amegundua kuwa nina mahusiano ya kimwili na nyumba ndogo yake. Ananihoji kwa simu na tayari mambo ni magumu kwenye uhusiano wao. Nifanyeje?

Ulikuwa unatumia kinga? kwa sababu familia kupoteza vijana wawili kwa wakati mmoja ni kuliletea Taifa hasara.
 
POle sana!

Si umesema ni mchamba wako? yeye alikuwa anajua kuwa wewe ni mchumba wake?

Then go ahead na ufunge naye ndoa!
Ya kaka yajko ni kizamani: mlaji kala leo!
 
Kaka amegundua kuwa nina mahusiano ya kimwili na nyumba ndogo yake. Ananihoji kwa simu na tayari mambo ni magumu kwenye uhusiano wao. Nifanyeje?
kama ni nyumba ndogo sawa tu, mwambie ukweli
 
tena fashion haswa, kaka ana mke lakini anatembea na nyumba ndogo, nyumba ndogo ina kidumu kumbe mdogo wa kidume chake, kidumu kina girlfriend na usikute girlfriend ana boyfriend yaani full kizunguzungu, maradhi acha yachukue nafasi yake
 
Hizi nyumba ndogo jamani ndio maana sisi waislam tunaowa, maana ukiowa anajulikana hawa wa siku hizi kuficha hatari sana kila kona anachapwa, sasa kama alikuwa anapata maisha kwa kaka yako iwe wewe maji mara moja kaiva, kama siyo malaya? Mshauri kaka yako pia aachane naye hafai huyo.

Hiyo nadhani ni Mungu amemfunguwa macho kaka yako juu ya huyo small house maana yawezekana anachapwa sana kila kona na kaka yako hajui, mi niliwai kuomba moja hapa kumbe small house ya mtu tena jamaa inaonekana imemsaidia sana na ilikuwa inamtegemea sana lakini maji mara moja ikaiva baadae sijui ilikuwa jamaa ikanipigia simu ila nilimuomba samahani nikamwambia jifikirie juu ya huyo binti maana hana uwezo wa kukataa mwanaume sasa unategemea kimeo kama hicho hatari sana.

We huna kosa maana hukujuwa yeye ndio si muaminifu maana kama alikuwa anamtegemea kaka yako mbona tena anmwibia kiasi hicho. Muombe sahamani na mshauri aachane na huyo dada.
 
Kapime afya! Ogopa mtandao wa Ngoma, mtamaliza kaukoo shauri zenu!


Kaunga hayo maneno hapo juu kwenye red unapomtamkia mwenzio unajiskiaje??
Tutor B amekua honest kwamba hakujua.........
 
Back
Top Bottom