Nimetembea na ‘house Girl’ wangu na sasa ana mimba

Je una uhakika kuwa hiyo mimba ni yako? Kama alivyo jasiri kumuibia mkeo ndoa yake hapo hapo ndani kwake huku akimlipa mshahara mzuri huoni kuwa anao pia ujasiri wa kukuibia ukiwa uko kazini. UMELIWA WEWEEE!!!!!!!!!!!!!!
 
ikatokea siku hiyo shetani kamtembelea mwanawake akaduduz ndogo tu, mwanaume huwa hawaelewi kabisa inakuwaje shetani akampitia mtu na kufanya duduz hata kama yeye jana yake katoka kujitetea kuwa kapitiwa na shetani akarudi nyumbani asubuhi!

..kwa kweli kinamama Mungu amewaumba na huruma sana ...na aendelee kuwabariki...sisi wanaume ni kama "mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu...."....yaani mwanaume unaweza fumaniwa live mara nyingi....na zote utanuniwaaa mwishowe unasamehewa...lakini ukweli sisi wanaume ukisikia fununu tu nywele zinasimama unatamani kutafuna mtu[hapo kidogo uwe kidogo umejaliwa busara na ka elimu kidogo at least unaweza ku ignore fununu na kuanza kutafuta links.....circumstancial evidence...kule kijijini fununu tu inatosha kumfukuzisha mwanamke...]...ukipata kaushahidi hata kaku force...mara zote au nyingi wanaume hawarudi nyuma kusamehe!!....na nasikitika sana kuna wanaofikia kuwauwa au kuwaumiza wanawake kwa ajili ya haya mambo...mimi nadhani kuliko kufanya unyama huu...ukishajiridhisha kuwa mwanamke sio mwaminifu kuliko kusubiri umjeruhi ni bora umrudishe kwao........AU SIKU HIZI WANAUME WENGI HAWATAKI TABU ZA KESI ..AKISHARIDHIKA KUWA MKEWE ANAKOSA ADABU...KIMYA HUMWACHIA NYUMBA NA KWENDA KUANZA MAISHA UPYA...i know many men who have done like these.......

mnajuwa jamii...humchukulia vibaya sana mwanamke aliyekosa uaminifu....wakati jamii hiyo hiyo humpa sifa ya UKIDUME mwanamme ambaye ni MCHEZAJI MAHIRI...hili litabadilika?????.............kwa mwanmume huumia sana pale...anapoopita mtaani na kusikia kuwa mkewe anajihusisha na kila mtu wakiwemo vijana wadogo.....hujiona kama anayetembea uchi.....
 
Majuto mjukuu.
Umemkosea sana mkeo.
Wanawake wanaovutia ni wengi sana, hiyo sio sababu ya kukubali ulichofanya.
Umejiendekeza, huwezi kujiachia kwa kila avutiaye!
Think twice.

Sunshine!
 
Its Shame!!!! Ina maana kama mkeo anarudi usiku ndo uwe kicheche hivyo? Huyo anaweza kuwa mwanao,,,, acha tamaa,, shindwa na ulegee,,, kila mahali
 
Pole Baba Zai kwa mkasa uliokupata. Am sorry to say that it was all human weakness and you failed to with hold your feelings and temptations after all we human being we inherited this from Adam and Eva and is the curse that we all have to learn to live with.
Well let you confess to your wife and apologize for what had happen and explain the reason why you failed to resist and let the house girl live away from your current residence then take care of the kind after birth then plan with your wife to have the kid back with you when he/ she reaches the right age. Don't get mad about it afer all who doesn't!
 
Pole Baba Zai kwa mkasa uliokupata. Am sorry to say that it was all human weakness and you failed to with hold your feelings and temptations after all we human being we inherited this from Adam and Eva and is the curse that we all have to learn to live with.
Well let you confess to your wife and apologize for what had happen and explain the reason why you failed to resist and let the house girl live away from your current residence then take care of the kind after birth then plan with your wife to have the kid back with you when he/ she reaches the right age. Don't get mad about it afer all who doesn't!



Is it? who doesnt???!!!
mindboggling uhh!
 
Binafsi nisingependa kumlaumu Shy kwa hatua ya kutembea na hausigeli wake. Unajua wakati mwingine wanawake wenyewe huyataka, namaanisha walioolewa. Kama mkewe angejua wajibu wake, hakika hausigeli angekaa mbali na Shy. lakini wewe fikiria, unaporudi kazini unapokewa na hausigeli, chakula anakutengea hausigeli, maji ya kuoga anakutengea hausigeli, nguo zako anakufulia na kukunyooshea hausigeli, mama kazi yake kuamrisha tu 'havijawa fanya hivi!!!!!' sasa wanaume nao ni kama watoto, anaangalia nani anayemjali, kwa kila kitu, siyo chumbani tu. mwanamume ni binadamu ambaye anapaswa kutambua mchango hata wa huyo hausigeli. hata kama asingekuwa mzuri wa umbile, lakini zile huduma tu anazozifanya, na muda mwingi ambao Shy anautumia akiwa naye, ambao kimsingi ulipaswa utumiwe na mkewe, zinampa fursa ya Shy au mwingine yoyote kufanya kitendo kama hicho. hilo linapaswa kuwa fundisho kwa wanawake, kwamba wanapaswa, pamoja na majukumu waliyo nayo, na usawa wanaoutaka, watenge muda wa kutosha kuwa na waume zao ili kuwaepushia vishawishi kama hivi. zaidi watimize wajibu wao, siyo kwa sababu mna hausigeli basi hata nguo ya ndani ya mumeo unampatia, noma.

___________________
If a woman cant do her job, some other women can do it!!
 
kauli yoyote inaweza kutafsiriwa kadiri mtu anavyoichukulia mwenyewe. lakini nimeshawahi kujihusisha na utoaji ushauri nasaha na kukumbana na matatizo mengi, yakiwemo ya aina hii. ndoa nyingi zinayumba, upendo unapungua hasa baada ya kuoana tofauti na uchumba, lakini sababu kubwa huwa ni kujisahau kwa wahusika, mume au mke. na hii si kwa mwanamume kutembea na hausigeli tu, bali hata mwanamke anaweza kutembea na shamba boy. wajibu ni kitu muhimu sana, lakini kama Mchongoma unadhani tunajichongea wenyewe, sbiri hapo hapo sahau wajibu wako utaniambia siku moja.
 
unastahili kuitwa mbakaji wa ndoa,,,,yaani wewe unampenda housegirl wako,,,,kwanza una adabu,,,mbona hamjifunzi au unafikiri mkeo akijua atakusamehe kama bill clinton alivyosamehewa na hillary clinton? acha hiyo tabia hujui hata mwanao huwa anawaangalia wakati mnazini nae atakuwa hivyo hivyo,,,,,jirekebishe na utubu hayawani wewe...laghai wa mabinti wa watu
 
Ni kweli Mbega Mzuri,unakuta hausigeli anapewa funguo za chumba cha Mr&Mrs afanye usafi wa chumba anapewa na nguo azifue;kwa mazingira kama haya jamani,hatimaye tunakuja kulaumiana kama hivyo.
Mimi binafsi huyu jamaa mimi siwezi kumlaumu kwa lifestyle ya kizazi hiki tulichonacho.
 
Imenifurahisha Sana Kiasi Kwamba Sina Cha Kukushauri Zaidi Ya Kukutakia Matumizi Ya Busara Katika Kutoa Maamuzi...
Usipokuwa Smart House Girl Ndio Anakuwa Mke Rasmi...na Bi Mkubwa Unamwacha Kilainiii....na Usipokuwa Smart Unakuwa Na Nyumba Mbili Zenye Mvutano Mkubwa Sana Kiasi Kwamba Wewe Kila Siku Ni Wa Kusikiliza Maneno Ya Kuchongeana..(si Unajuwa Tena Wake Zetu Wa Kiswahili) Na Usipokuwa Makini Ndo Wanakuloga Wakose Wote...braza Kama Nakuona Unakufa Hivi...
 
Jamani kwa nini hamtumii kinga? Hamuogopi UKIMWI na magonjwa ya zinaa? Mtunze huyo binti na umweleze mkeo uchafu ulioufanya na Housegirl wako ambae ninadhani mkeo ndie aliyemtafuta. Kama dini yako inaruhusu kuwa na wake wawili au zaidi fanya mipango ya kufunga ndoa ya pili. Ila ninawasiwasi kama unamtoto wako wa kumzaa wa kike unaweza kumfanya ulivyomfanya huyo aliyekuwa housegirl wako ambae kwa sasa ni mkeo wa pili. Ninampa pole huyo mkeo.
 
Ni kweli Mbega Mzuri,unakuta hausigeli anapewa funguo za chumba cha Mr&Mrs afanye usafi wa chumba anapewa na nguo azifue;kwa mazingira kama haya jamani,hatimaye tunakuja kulaumiana kama hivyo.Mimi binafsi huyu jamaa mimi siwezi kumlaumu kwa lifestyle ya kizazi hiki tulichonacho.
Watu wenye mentality kama hizi hawana maadili mema hata kidogo! Hawashindwi kuwarudi hata waoto wa kuwazaa wenyewe.....How can you stoop so low!!.....
Hivi kumbe huyo hausigeli ameajiriwa ili aje holiday au kufanya kazi??mbona mnapolazwa mahospitalini wahudumu wanaowafanyia kila kitu mpaka kuwaosha kule naninhii hamlali nao?
 
Jamani kwa nini hamtumii kinga? Hamuogopi UKIMWI na magonjwa ya zinaa? Mtunze huyo binti na umweleze mkeo uchafu ulioufanya na Housegirl wako ambae ninadhani mkeo ndie aliyemtafuta. Kama dini yako inaruhusu kuwa na wake wawili au zaidi fanya mipango ya kufunga ndoa ya pili. Ila ninawasiwasi kama unamtoto wako wa kumzaa wa kike unaweza kumfanya ulivyomfanya huyo aliyekuwa housegirl wako ambae kwa sasa ni mkeo wa pili. Ninampa pole huyo mkeo.

Mhache,
siyo tu kumtafuta bali si ajabu hata kumlipa mshahara na kumhudumia kwa kila kitu... kumbe ni mke mwenza/mwizi!! Loh dhambi nyingine!!
 
...wajibu ni kitu muhimu sana, lakini kama Mchongoma unadhani tunajichongea wenyewe, sbiri hapo hapo sahau wajibu wako utaniambia siku moja.

...mkuu hiyo ya mke kutembea na Shamba Boy, au mume kutembea na House Girl ni sababu finyu watu walojiwekea kutetea dhamira ya 'uchu wao' kwa kisingizio cha, eti mke/mume hakutimiza wajibu wake.

...La msingi hapo ni 'weye' mtenda kukosa adabu, heshima na nidhamu ya mwili wako, bila kujali athari kuanzia kwa ulomuajiri, mkeo/mumeo, wanao, majirani, na wote wanaokufahamu na kukuheshimu.
 
Its Shame!!!! Ina maana kama mkeo anarudi usiku ndo uwe kicheche hivyo? Huyo anaweza kuwa mwanao,,,, acha tamaa,, shindwa na ulegee,,, kila mahali

je kama umri ni mkubwa kwa maana hawezi kuwa mwanangu?/
 
Duh! hiyo kali aisee. Mambo ya chombeza usku kumtoroka mama kwenda kwa h.girl's room. Usijali ulikuwa unajaribu tu lakini sasa si unaona majibu yake? Basi Oa baba
 
Back
Top Bottom