Nimetapeliwa na Wachapishaji wa Gazeti la Raia Mwema....

Mtoboasiri

JF-Expert Member
Aug 6, 2009
5,101
1,946
..
yaani wameweka page nzima ya mwisho tangazo la magamba?!!! Aaargh! Hadi kichefuchefu! Nilimelitupa na gazeti lenyewe. Mwenye moyo wa kulisoma toleo hilo atuwekee hapa habari yeyote atakayoona ni ya maana.
 
Back
Top Bottom