luckyperc
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 495
- 46
Inakuwaje hapa wazee....
kati ya BABA RIZ na MTOTO WA MKULIMA
safari(KUPANDA NDEGE) za baba riz ni nyingi sana kuliko za mtoto wa mkulima
najiuliza baba riz anambania kusafiri huyu jamaa au mwenyewe hataki na anaogopa kupanda ndege?
Au mtoto wa mkulim ni WAHAPAHAPA.
INAKUWAJE HAPA...!!!!!