Nimestaafu

swadakta homeboi!.....ameniacha njia panda hata ivyo.mimi tigo ndo inazunfuka kwenye damu sasa,YEYE ANAACHA!

Oooops.........mtakosa ''Kondoo'' kule kny project 2010!....! Halafu nani anawafundisha hiyo, kule homu hamna hiyo kitu kabisa.....simnaju hata vile vi-fowasikini huwa hatuondoi? which means hata kujiexpress inakuwa ngumu......! watch out mtatengwa!

Dah home boy tumekutafuta sana get tugedha hujapatikana hii ishu ipo jamaa anaanza 2010

H/boi.....lini mlifanya geti tugedha? anyway....nikobize na viboxi hapa Chauginge.....mkiwa na party nistueni!
 
hahahaaaaa, nilimgongea senks, lakini nilipofika hapa imebidi ni-remove!!!.

Mi ndio maana nimeamua kumfuatilia kwa makini sana! Na senks zangu nazitoa kwa uangalifu mkubwa. Mpwa huyu si wa kumfanyia masihara, ana mitego ya aina mbalimbali.
 
Nakumbuka uliipendea TiGo yake. Sasa itakuwaje wakati mkulu ndio umemwaga manyanga kwenye fani?

Dah mpwa kila nikikumbuka ule mgongo roho inaniuma sana unajua hata mvuta sigara iwa anaacha taratibu au pole pole.
 
Dah mpwa kila nikikumbuka ule mgongo roho inaniuma sana unajua hata mvuta sigara iwa anaacha taratibu au pole pole.

Msindima, Vera City na wote mliomgongea senksi mpwa wangu. I believe you can see the bolded sentence! Hahaha! Jasiri haachi nini sijui?....
 
Msindima, Vera City na wote mliomgongea senksi mpwa wangu. I believe you can see the bolded sentence! Hahaha! Jasiri haachi nini sijui?....[/QUOTE]
ASILI! LOH!

Msiwe na wasiwasi jamani,Bwana anajibu maombi.Lakini naona kamati ya watumishi(Xpin,Nguli na Geoff) ikae kupanga maombi zaidi ili asirudi kwenye asili.Na muda si mrefu Fidel80 atatangaza kusomea uchungaji na kuoa yule binti Mlokole.
 
wapwa na mabinamu nimerudi kutoka taifa!tuko pamoja sana.nadhani mko aware kwamba nipo studio narekodi sasa,kwa hiyo mara kadhaa natoka na kurudi kutegemeana na simu za prodyuza...!Nadhani tuko pamoja OVA!

NGULI,NAOMBA NAMBA ZA CARMEL KWA PM AU NIPIGIE!kuna kiitikio nadhani sauti yake inafit
 
wakuu wapwa kwa pamoja naombeni namba za carmel!nina problem serious...
 
Unaharibu sasa na wewe hivi kati ya ulivyo taja hapo kuku utamweka kundi lipi?

Maumbile ya kuku na mwanadamu ni tofauti!! hivi umeshawahi kuona hata n'gombe akikosea? au punda!!! acheni Dhambi jamani waungwana. kuna moto!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom