FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,792
- 5,374
he!
Ndugu zangu wapwa, shangazi na wengine kwa ujumla mimi Fidel nimeamua kujitoa rasmi kwenye chama cha kujiexpress kwa hiari yangu mwenyewe bila kushrutishwa na kiumbe yeyote yule. Nimeona sipati faida yeyote ile ndo maana nimeamua kutamka wazi wazi kuwa nimeacha rasmi, mnichukulie mtu wa kawaida tu sasa maana wengine walikuwa wananiogopa napo pishana nao barabarani zile KY zote nimesha zichoma moto...nilio wakwaza kwa kutumia huu mtandao naomba mnisamehe.
Nafuu umeacha...........tigo kinyaaaa.
swadakta homeboi!.....ameniacha njia panda hata ivyo.mimi tigo ndo inazunfuka kwenye damu sasa,YEYE ANAACHA!H/boy,
Sasa naona hata ile project 2010 campaign mtaifanya vizuri na mkuu Geoff.......!
swadakta homeboi!.....ameniacha njia panda hata ivyo.mimi tigo ndo inazunfuka kwenye damu sasa,YEYE ANAACHA!
inaweza kuwa danganya toto?!!!!!....ili mashoriiz wakitongozwa waingie kingi mpela-mpelaMi bado najiuliza kama huyu mwanachama yuko siriaz. STUKA!
inaweza kuwa danganya toto?!!!!!....ili mashoriiz wakitongozwa waingie kingi mpela-mpela
Wapwa mtu anapo rudi kundini kwa nini mnamtilia shaka jamani au mnataka niendelee kujiexpress?
develop tu lijendi!mbona mimi nimejifunza juzi tu na ninainjoi!kimsingi sifikirii kuachaWapwa mtu anapo rudi kundini kwa nini mnamtilia shaka jamani au mnataka niendelee kujiexpress?
"...japokuwa dhambi zenu zilikuwa nyekundu kama Bendera, sasa mtang`ara kama theluji"!
Acha dhambi kwa kudhamiria, na usirudie.
Otherwise, be blessed.
develop tu lijendi!mbona mimi nimejifunza juzi tu na ninainjoi!kimsingi sifikirii kuacha
dada ako hajui!tena usimwambie.ngoja nitoroke nikalione hilo kombe la dunia shortly....Nasali dada yangu asiisome hii thread!
dada ako hajui!tena usimwambie.ngoja nitoroke nikalione hilo kombe la dunia shortly....