Sasa wewe inakuhusu nini kama mwenye mke hataki we kinachokuuma nini,kama uliuomba akakunyima ndo maana umeamua umuanike humu JF,haitakusaidia hii we dili na mkeo,labda uwezi jua jamaa kashazoe na mama ndo anatoa matumizi we unataka umuaribie, MTU MZIMA KUWA MBEA HAIPENDEZI,UTAVALISHWA GAUNI WEWE
kwanini unadhani mmbea avalishwe gauni? au unadhani wambea ni wanawake tu? kwa taarifa yako hakuna mmbeya mmbaya kama mwanamume, tena huwa na umbea wa kuua haswaaa, labda ungeshauri avuliwe nguo rather than avalisher gauni, unatudhalilishwa wanawake... shame on you!