Nimesikitishwa na kuhuzunishwa na ufedhuli wa kiongozi huyu

Sonara

JF-Expert Member
Oct 2, 2008
726
68
Leo imefikia kiasi hichi Viongozi wa SMZ wana zalilishwa huku wakionekana kama vile poor small Boys without no Brain.
 
Mkuu,
Unataka tuchangie nini kwenye hii mada uliyoianzisha?

Mkuu hii mada haitaki machangio kiasi hicho ,ulichokifanya ni sawa na kutowa mchango kwani umeisoma,pia hii mada imekuja katika mfumo ambao baadhi yetu itatupa tabu kuyaelewa maudhui yake na hivyo ndivyo ilivyokusudiwa, palipo bakia tusubirie wakati uje utueleze the out come .

(Its not the size of the dog in the the fight!! Its the size of the fight in the dog.)
 
Leo imefikia kiasi hichi Viongozi wa SMZ wana zalilishwa huku wakionekana kama vile poor small Boys without no Brain.

Mkuu Sonara
Sasa nani kafanya nini wapi kwa nani na kwa sababu gani? Na wewe tukueleweje kama hapo nilipomwagia wino au?
 
Mkuu Sonara
Sasa nani kafanya nini wapi kwa nani na kwa sababu gani? Na wewe tukueleweje kama hapo nilipomwagia wino au?

Mkuu unaelewa kitu kinaitwa misamiati?Viongozi wetu wa SMZ watakapo bahatika kusoma mada hii wataelewa kiasi gani tupo pamoja nao kwa kile wanachokipigania ni haki yetu.
 
Leo imefikia kiasi hichi Viongozi wa SMZ wana zalilishwa huku wakionekana kama vile poor small Boys without no Brain.

Well kuna siku nilikuwa pale mji mkongwe kuna mzee mmoja wa kuheshimiwa kule visiwani alisema Cabinet ya Mh Amani na kama darasa la sekondari na Mh Karume ni kama headmaster. Mimi nilijua kuwa tutakujafikia hapa, sishangai hata kusikia zinatoka kauli za ajabu hakuna hata anyesimama kidete kuzikataza. Ndio maana kauli hizi ambazo bado hujaonesha ni zipi, zinatokea.
 
Leo imefikia kiasi hichi Viongozi wa SMZ wana zalilishwa huku wakionekana kama vile poor small Boys without no Brain.

Mara ya kwanza niliisoma nikashindwa kuielewa; ikabidi nikachungulie mengine!! Nikarudi tena, bado sijafahamu maana ya mada hii!! anyway, i don' mind so much coz' am not a greatest thinker though am in the house of greatest thinker!!
 
duh pagumu hapa wacha nipite maana sijui ama niko kama Kingunge kushindwa kuelewa waraka wasemaje.
 
Kweli, hii mada ni sawa na Kingunge na waraka wa Kanisa Katoliki! Ngoja tuwaachie wenye meno watafune; si unajua wazenji hujuana kwa vilemba, hehe!!
 
Kwa kweli hii inasikitisha,siyo tu kwamba title haionyeshi message inahusu nini,lakini message pia ikifunguliwa,haifahamiki inahusu nini.
Sijui hapa unapinga nini,labda kwamba Rais Karume anafundisha mawaziri wake kana kwamba yeye ni Headmatser.
 
Back
Top Bottom