Nimesikitishwa "Countries Billionaires Could Buy"

mimi-soso

Senior Member
Feb 11, 2008
160
41
Habari hii nimeitoa kwenye yahoo featured news, inasikitisha kuona kuwa uchumi wetu kama nchi haufiki kiasi cha pesa alichonacho hata mtu wa 10 kwa utajiri duniani. Mbaya zaidi wametutaja kama nchi masikini.

Kilichonihuzunisha zaidi ni kule kutajwa kama nchi masikini, kwani Tanzania ni nchi masikini kuliko zote? and sio mara ya kwanza kuona tunatajwa kwenye vitu vya hovyo, inakuwaje wenzetu hasa Kenya hawatajwi? wanatumia mbinu gani ili wasitajwe kwenye vitu vya hovyo?

Hii ni sehemu ya hiyo habari

How about a country? A quick glance at the CIA Fact Book suggests the individual fortunes of many Forbes 400 members are as big as some of the world's economies.

Bill Gates, America's richest man with a net worth of $50 billion, has a personal balance sheet larger than the gross domestic product (GDP) of 140 countries, including Costa Rica, El Salvador, Bolivia and Uruguay. The Microsoft (MSFT) visionary's nest egg is just short of the GDP of Tanzania and Burma.

Warren Buffett, who lost $10 billion in the past 12 months and is this year's Forbes 400 biggest dollar loser, still has a fortune the size of North Korea's economy at $40 billion. (The Oracle of Omaha probably would steer clear of that investment, though.)
 
Hata kama ndio ukweli mbona wenzetu wanaweza kujistiri na hawaharibu hadhi yao, Tanzania inashindwa nini?

Ni kama wewe kwako unaweza kuwa umechacha ila sio lazima kila mtu ajue, utajistiri ili heshima yako isishuke
 
Si kweli kwamba hizi ni "countries billionaires could buy".Tanzania ina rasilimali nyingi ambazo zinazidi hiyo $ 50 billion.Kilichofanyika hapa ni kulinganisha uzalishaji wa nchi katika mwaka mmoja na fortunes hizi, kinachosemwa ni kwamba katika mwaka mmoja Tanzania imefanya uzalishaji ulio chini ya fortune nzima ya Bill Gates, which is not the same thing as Bill Gates being able to buy Tanzania.

Dola Billion 50 ni takriban sawa sawa na ma BOT Twin towers 50 yale, sasa unaweza kusema gharama ya ma twin towers 50 ni sawa na thamani ya nchi? Ardhi maji almasi dhahabu uranium copper cobalt mazao ya kilimo, utalii wanyama etc etc?
 
this post have been deleted,
endelea kufanyakazi, ni asubuhi sasa nchi haijengwi kwa namna hiyo.
 
Last edited:
Nafikiri ndio maana watu wengi wenye akili timamu huwa hawanaga issue na hizo GDP na makorokoro mengine ya WB huwa hayawatendei haki waafrika, wewe unadhani utajiri wa Bill Gates unaweza kulinganishwa na nchi kama Tanzania kwa vigezo gani?dola au nini? na kama dola huo ni ulinganishi sawa kwa tanzania nchi ambayo bado matumizi ya kila siku ya watu wengi hayahusishi hela moja kwa moja?
 
Bill Gates, America's richest man with a net worth of $50 billion, has a personal balance sheet larger than the gross domestic product (GDP) of 140 countries, including Costa Rica, El Salvador, Bolivia and Uruguay. The Microsoft (MSFT) visionary's nest egg is just short of the GDP of Tanzania and Burma.
Source: Yahoo (today)

kwa maana nyingine ni kwamba huyu bwana anaweza kuinunua Tanzania na kila kitu kilichomo. (including hawa wahindi wanaojiita wawekezaji pamoja na mali zao)

Conclusion yako ipo misplaced completely. Totally wrong.
 
Conclusion yako ipo misplaced completely. Totally wrong.

Ingekuwa vizuri kama ungeiweka sawa, wabongo bwana.. very quick kuangalia what is wrong, kubali tu mazee jamaa anaweza kununua hata ile bustani yako kule boko unayoita shamba
 
Nakubaliana sana kuwa sisi Watanzania tuna rasilimali za kutosha kabisa ila hizi zote hazipo kwenye mfumo halisi wa calculate data zote za kiuchumi then watu wanashindwa hata kurudisha returns zao halisi
 
Ingekuwa vizuri kama ungeiweka sawa, wabongo bwana.. very quick kuangalia what is wrong..

Kwani wewe ni mvivu kiasi gani hata ushindwe kurekebisha mwenyewe? vitu vingine si lazima usubiri kukosolewa wewe mwenyewe ishughlishe akili yako. Mnakuwa watumwa hadi mnashindwa kutumia akili zenu, inakera.
 
These American moguls could buy some of the world's economies

Castles in France. Islands in the Caribbean. Private jets. With a collective $1.27 trillion at their disposal, the members of The Forbes 400 could buy almost anything.

How about a country? A quick glance at the CIA Fact Book suggests the individual fortunes of many Forbes 400 members are as big as some of the world's economies.

Bill Gates, America's richest man with a net worth of $50 billion, has a personal balance sheet larger than the gross domestic product (GDP) of 140 countries, including Costa Rica, El Salvador, Bolivia and Uruguay. The Microsoft (MSFT) visionary's nest egg is just short of the GDP of Tanzania and Burma.

Warren Buffett, who lost $10 billion in the past 12 months and is this year's Forbes 400 biggest dollar loser, still has a fortune the size of North Korea's economy at $40 billion. (The Oracle of Omaha probably would steer clear of that investment, though.)

One Forbes 400 member does actually run a small chunk of a state in an official capacity: Mayor Michael Bloomberg. While he is busy serving as the chief executive of New York City and grappling with its sluggish economy, his own personal balance sheet -- amassed through financial information services and media company Bloomberg LP -- equals the value of all the goods and services produced in South Africa's Republic of Zambia's ($17.5 billion).

Some say that land developer Donald Bren, whose assets throughout the vicinity of Orange County, Calif., include 475 office buildings, 115 apartment communities, 41 retail centers, resort properties and new housing, runs Orange County -- he certainly owns most of it. And with a net worth of $12 billion, he could, in theory, buy Haiti's economy, too.

Casino mogul Sheldon Adelson's $9 billion net worth is akin to the Bahamas' GDP ($9 billion). Pierre Omidyar, founder of eBay (EBAY), the world's biggest auction marketplace, could theoretically control Somalia's market with his $5.5 billion fortune.

George Lucas, the famed Hollywood director behind the Star Wars and Indiana Jones franchises and ILM, the world's most bankable special effects shop, has a $3 billion fortune, making him worth as much as the GDP of Guyana.

Hedge fund founder David Shaw's $2.5 billion net worth parallels Belize's marketplace.

Investor John Paulson amassed much of his fortune by exploiting the real estate bubble and shorting the subprime market in 2007. Today he has a net worth of $6.8 billion -- the equivalent of Montenegro's gross domestic product.

Although Eli Broad's fortune suffered because of AIG's (AIG) collapse last fall -- he's lost $1.3 billion in the last 12 months -- he still has a bank account that rivals Barbados' economy ($5.4 billion).

Forbes 400 members with net worths just under $1 billion still possess fortunes that could operate the economies of significant fractions of the globe. Gary Magness, who owns water rights in Colorado through his ranch holdings, has a net worth of $990 million, which barely exceeds Vanuatu's GDP ($988.5 million).

If this year's three poorest Forbes 400 members were to combine their wealth (a combined $2.9 billion), their amassed fortune would be worth more than the workings of Belize's entire economy.

Copyrighted, Forbes.com. All rights reserved.
 
Lakini na sisi watanzania tufanye nini ?? rasmali za utajiri zote tunazo

Maziwa ,bahari ,Migodi ya dhahabu,Mbuga za wanyama..

Ni nini hasa tunahitaji ??
 
Kwani wewe ni mvivu kiasi gani hata ushindwe kurekebisha mwenyewe? vitu vingine si lazima usubiri kukosolewa wewe mwenyewe ishughlishe akili yako. Mnakuwa watumwa hadi mnashindwa kutumia akili zenu, inakera.

mmeshinda wazee wa vijisent Burn na mwenzako.. wabongo bwana
 
mmeshinda wazee wa vijisent Burn na mwenzako.. wabongo bwana

Huo ndio ukomavu mkuu mwenda pole, pale unaposhindwa kwa hoja unakili, na maisha yanaendelea naomba uwe ni mfano kwa wanajanvi wengine.
BTW, hayo yenye rangi achana nayo haupungui uzito ukinyoosha mikono bila kutikisa kidole kimoja.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom