Nimesikia milipuko kadhaa maeneo ya baharini, anyone with more info, au ni fataki?

ni kweli mtu mzima. Mkwere anajiachia sana kwenye makasino ya huko na ma clubs mbona kashapiga picha na akina jey zee, bow wow, luda criss, p did na lil wine haujaziona mwana?alienda madrid akapiga picha na beckham, chicago bullz akajia chia na akina derick fisha, stive na masela wengine. Mkwere utafikiri kabalehe jana. Yaani kazi ipo.
 
Nimeamua kuifufua thread hii ili kutanabahi kama nilichokisikia siku ile hakikutokea kweli, hususan kwenye ghala mojawapo ya silaha (mabomu) maeneo ya pwani yetu ya bandari salama.
 
Nimeamua kuifufua thread hii ili kutanabahi kama nilichokisikia siku ile hakikutokea kweli, hususan kwenye ghala mojawapo ya silaha (mabomu) maeneo ya pwani yetu ya bandari salama.

mkuu inawezekana hata siku hiyo yalikuwa ni mabomu.
 
Back
Top Bottom