Nimeshindwa, Nahama Chadema

Heading ibadilishwe, iwe 'NIMESHINDWA NAHAMIA CCM' kuonyesha hutaki chadema, maana mnafiki wa staki nataka atataja chadema
 
Kwa mtizamo wa haraka haraka naona KISHONGO ni kama ZUMBUKUKU fulani hivi.

Usitupotezee muda wetu kukujadili tena toka kabisa JAMVINI maana watu km nyie ni wachafuzi wa mazingira tu.

Acha kutuzingua chukua time
 
mtumwa, fukara usijitambua nendaaaaaa.... nendaaaaa kawalambe tigo akina RA, EL, VIJICENT .... nendaaaaaaaa
 
Originally Posted by MsemaUkweli Haya!!!!!!!!maajabu mengine hayo watanzania tutafakari MIMI...................NAAPA KWAMBA NITAKUWA MWAMINIFU KWA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA KWAMBA NITAIHESHIMU,KUILINDA NA KUITETEA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ILIYOWEKWA KWA MUJIBU WA SHERIA EE MWENYEZI MUNGU NISAIDIE!!!!!! halafu baada ya hayo unakuja kujitoa bungeni kwa kisingizio eti humtambui Rais ambaye ndiye kichwa cha hiyo jamhuri kwa mujibu wa katiba nani mnayemuwakirisha katika maamuzi hayo ya kipuuzi? nani aliyewaambia mtoke bungeni?nani mlimuuliza? kwa maana ya dhana ya serikali shirikishi ambayo mara zote ina washirikisha wananchi wake
Tafakari 1.Jamhuri gani aliyoiamini? 2.Katiba gani anayoilinda? 3.Mungu gani amsaidie?

Du hii kali kwelikweli wenye elimu yao hawakuingia mtegoni walikaa mbali kabisa, kama mtindo huu utaendelea nitaikumbuka NCCR Mageuzi ya kina Selasini Marando, Lamwai,Nsazungwako na ikafa mm nanyamaza kwani mwenye akili timamu hawezi kumlaumu aliyeapishwa kuwa Rais amlaum aliyemuapisha na waliompa kura. anayebisha kura zirudiwe kwa wagombea wa2 hata kesho
 
Ametumwa na makamba kuandika manake hata uhuru imekosa habari inandika hayohayo kweli chadema wamegusa inauma ila hamna jinsi na bado tuna vichwa kwa sasa tuna hazina ya kutosha tuna nguvu ya umma siyo chama cha wachakachuaji, hatutegemei mtu mmoja , tunaye tundu lisu, god lema, nyerere, mnyika, rose, kamil, mdee, suzan, wenje, na baba mbowe nakwambia mtachemsha miaka mitano mtaona miaka 100 manake kila siku itakuwa moto, hii haichomoki kirahisi chadema imecheza karata yake vizuri, propaganda zenu haziwezi hii yana pesa zenu hazitagusa hii
 
Nimeamua rasmi kukihama chama nilichokipenda kutokana na yaliyojiri bungeni. Narudisha kadi wiki ijayo.

Nilikipenda sana chama changu lakini kuendelea kuwa mwanachama nitakuwa siitendei haki dhamira yangu.

Nimeng'amua kwamba CCM ndicho chama makini chenye kuitakia mema nchi yangu Tanzania na kitakachoweza kuleta maendeleo ya kweli kwa kila mwananchi.

Chadema pamejaa ubinafsi na ukabila. Aidha viongozi wamekosa dira na ukomavu wa kisiasa.

Wenye mawazo kama ya kwangu juu ya Chadema mnakaribishwa CCM.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi!

Zidumu fikra za Mwenyekiti na RAIS wetu JK.
Kaa huko huko CCM. Huna ubavu hata nukta kuwa mwanachadema. Fortunately wewe tunakufahamu vizuri na twaijua hata namba ya kadi yako ya CCM, shida ni kwamba haturuhusiwi tu na sheria za JF ku expose siri za watu. Simply let me say usije Chadema as we have no room for you.
 
Nenda Kishongo, nenda huko CCM ukageuzwe hasusa kwani huko ili uruhusiwe kula sharti ukubali kuliwa kwanza !
Mag3, unamaana asiporudi tujue nini imetokea? .. yaani kapenda! Oh shit! Punguzeni basi kidogo. Nadhani atazinduka sasa.
 
we unafikiri kila mtu anaweza kuingia jeshini...? bora umejiondoa mapema ungekuwa kikwazo wakati safari bado ni ndefu....
 
Wewe umeona nimetoa mada ya kuhama CCM na kuhamia CHADEMA kwa hiyo umeona kama nimewabomoa CCM na hivyo Makamba kakutuma ubandike hapa huu uzushi. Sasa kwenye mada yako hii kwa kuwa unajifanya kujibu ya kwangu weka kadi yako hapa kama uthibitisho na mimi nitaweka yangu ya CCM ambayo jumatatu hii naikabidhi kwa CHADEMA.

Wewe ndio ulianza kuhama, weka na mimi nitaweka.
 
Nimeamua rasmi kukihama chama nilichokipenda kutokana na yaliyojiri bungeni. Narudisha kadi wiki ijayo.

Nilikipenda sana chama changu lakini kuendelea kuwa mwanachama nitakuwa siitendei haki dhamira yangu.

Nimeng'amua kwamba CCM ndicho chama makini chenye kuitakia mema nchi yangu Tanzania na kitakachoweza kuleta maendeleo ya kweli kwa kila mwananchi.

Chadema pamejaa ubinafsi na ukabila. Aidha viongozi wamekosa dira na ukomavu wa kisiasa.

Wenye mawazo kama ya kwangu juu ya Chadema mnakaribishwa CCM.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi!

Zidumu fikra za Mwenyekiti na RAIS wetu JK.

Kuhama Chadema ni haki yako ya kimsingi hakuna aliyekulazimisha kujiunga nacho, huku unakotaka kurudi nako ni mashaka matupu, CCM hii haina dira wala umakini, suburi turudishe CCM yetu ya Mwl. Nyerere, mwenyekiti wetu JK fikra za kuwajali wananchi wake hana, anachojali ni mafisadi tu, alichojaliwa ni kutupa wananchi ahadi za uongo kila kukicha angalia usije ukachanganyikiwa.
 
Ngonjwa wewe hebu taja jina kamili na number yako ya kadi tukuangalie kama ulikuwa mwanachama shetani we
 
Nimeamua rasmi kukihama chama nilichokipenda kutokana na yaliyojiri bungeni. Narudisha kadi wiki ijayo.

Nilikipenda sana chama changu lakini kuendelea kuwa mwanachama nitakuwa siitendei haki dhamira yangu.

Nimeng'amua kwamba CCM ndicho chama makini chenye kuitakia mema nchi yangu Tanzania na kitakachoweza kuleta maendeleo ya kweli kwa kila mwananchi.

Chadema pamejaa ubinafsi na ukabila. Aidha viongozi wamekosa dira na ukomavu wa kisiasa.

Wenye mawazo kama ya kwangu juu ya Chadema mnakaribishwa CCM.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi!

Zidumu fikra za Mwenyekiti na RAIS wetu JK.

Kishongo itabidi tuwaombe mods wakupe ban kwa kueneza uongo wako hapa. Tangu lini wewe ulikuwa CHADEMA? Maana hata post zako tangu mwanzo zilionyesha wewe ni CCM. Mfano ni post za tehehe 10 Novemba hizi hapa chini. Hivi watu mnaposti halafu mnajisahau eeeh! au ndo kawaida ya watu wa misikitini, maana kuna wakati mnaitumia Biblia katika kuhalalisha dini yenu na hapohapo mnasahau na kuanza kuikana. Lol!

Very good observation.
.... it is a shame to this party (CHADEMA)!

Usilaani ili nawe usilaaniwe! Angaliwa mabaya unayowatakia yasikurudie wewe. Mungu akusamehe.

Kikwete na Serikali yake ni chaguo la Mungu na Watanzania.
Mungu hawezi kusikiliza dua mbaya dhidi yao.
 
Kheri huko uendako mwanakwetu; ni haki yako kabisa!!!! Mabadiliko nayo pia yako njiani kwa nguvu zote tayari kuokoa watu wote; waoga na wanafiki wakiwemo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom