Nimeshindwa, Nahama Chadema

Nafurahi watu wa type yako wanapohama CHADEMA, maana ungetuharibia mbele. Buriani, nenda kakae na mafisadi, wenzako tumechagua uadilifu
 
Angalia siku moja mkeo akikosa usijesema unamhama na kwenda kwa mke wa jirani?
 
Usifikiri kuwa kwako Uk utambabaisha mtu; kutamka tu rubbish as if kukaa kwako huko kumekufanya usione realities za wananchi, wewe unajua shida ya maji, unajua shida ya kushindwa bila mlo? Wewe unajua frustrations za watoto kutokwenda shule? Au kupata tiba when you are sick? Havent you heard that now our country is 148 0ut 0f 169 poor countries in the world? Wewe unaongea nini, eti "kidumu...na zidumu..." ili tuendelee kuangamia? Not so my friend, our slogan is "kigumu CCM" huko kwa fikiria, that is even a laughing stock; fikra zipi? Kipi jipya za kuwaendeleza Watanzania? Please if you can't reason properly, it is better to remain on the background and let those with love for this countr
 
Nuru na giza havipatani, Chadema ni Nuru, CCM ni giza. Nenda zako ukaishi gizani, ndiko kuna maisha yanayoongozwa na nguvu za giza mbazo zikikutana na Mwanga hutimka na kutokomea gizani kwenye makao yenye kilio cha kusaga meno.
 
Uzee unakusumbua kapi kuondoka ni heri! Umetupunguzia mashuzi! Wewe ni taka na taka kuondoka ni bora kwa mazingira!
 
Sorry JF I sent before I finished. Let those with the love this country and with the great capacity to think address carnal issues of our society. Wewe ubaki huko majuu ukijirusha, au nayo hiyo haikutoshi? What do you need here? Uraisi 2015? Anza kampeni huko UK, hamasisha wenzio kama wewe; wachadema uwaache wapambane kivyao
 
Nimeamua rasmi kukihama chama nilichokipenda kutokana na yaliyojiri bungeni. Narudisha kadi wiki ijayo.

Nilikipenda sana chama changu lakini kuendelea kuwa mwanachama nitakuwa siitendei haki dhamira yangu.

Nimeng'amua kwamba CCM ndicho chama makini chenye kuitakia mema nchi yangu Tanzania na kitakachoweza kuleta maendeleo ya kweli kwa kila mwananchi.

Chadema pamejaa ubinafsi na ukabila. Aidha viongozi wamekosa dira na ukomavu wa kisiasa.

Wenye mawazo kama ya kwangu juu ya Chadema mnakaribishwa CCM.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi!

Zidumu fikra za Mwenyekiti na RAIS wetu JK.

Yaani unaonekana umetumwa na hauna lolote....ulivyoenda CHADEMA hukututangazia iweje leo unajidai....oooh CCM chama makini nenda huko kwa mafisadi wenzio CHADEMA kwa watu makini na siyo Ma-puppet kama wewe!:angry:
 
Nimeamua rasmi kukihama chama nilichokipenda kutokana na yaliyojiri bungeni. Narudisha kadi wiki ijayo.

Nilikipenda sana chama changu lakini kuendelea kuwa mwanachama nitakuwa siitendei haki dhamira yangu.

Nimeng'amua kwamba CCM ndicho chama makini chenye kuitakia mema nchi yangu Tanzania na kitakachoweza kuleta maendeleo ya kweli kwa kila mwananchi.

Chadema pamejaa ubinafsi na ukabila. Aidha viongozi wamekosa dira na ukomavu wa kisiasa.

Wenye mawazo kama ya kwangu juu ya Chadema mnakaribishwa CCM.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi!

Zidumu fikra za Mwenyekiti na RAIS wetu JK.

Pumbaa zilizochanganyikana na crap
 
nimeamua rasmi kukihama chama nilichokipenda kutokana na yaliyojiri bungeni. Narudisha kadi wiki ijayo.

Nilikipenda sana chama changu lakini kuendelea kuwa mwanachama nitakuwa siitendei haki dhamira yangu.

Nimeng'amua kwamba ccm ndicho chama makini chenye kuitakia mema nchi yangu tanzania na kitakachoweza kuleta maendeleo ya kweli kwa kila mwananchi.

Chadema pamejaa ubinafsi na ukabila. Aidha viongozi wamekosa dira na ukomavu wa kisiasa.

Wenye mawazo kama ya kwangu juu ya chadema mnakaribishwa ccm.

Kidumu chama cha mapinduzi!

Zidumu fikra za mwenyekiti na rais wetu jk.

kama senior members ndo wanaandika upupu kama wako, basi sipendi niwe senior member kama wewe.

Ni vigumu sisi kufahamu hiyo dhamira yako unayosungumzia. Hoja yako ni udini na ukabila ndani ya chadema, hilo si kweli. Jaribu kila jambo unalofanya kulireason ndugu yangu, usiandike tena upupu hapa.

Long live chadema, long live tanzania
 
Nimeamua rasmi kukihama chama nilichokipenda kutokana na yaliyojiri bungeni. Narudisha kadi wiki ijayo.

Nilikipenda sana chama changu lakini kuendelea kuwa mwanachama nitakuwa siitendei haki dhamira yangu.

Nimeng'amua kwamba CCM ndicho chama makini chenye kuitakia mema nchi yangu Tanzania na kitakachoweza kuleta maendeleo ya kweli kwa kila mwananchi.

Chadema pamejaa ubinafsi na ukabila. Aidha viongozi wamekosa dira na ukomavu wa kisiasa.

Wenye mawazo kama ya kwangu juu ya Chadema mnakaribishwa CCM.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi!

Zidumu fikra za Mwenyekiti na RAIS wetu JK.

Haki yako kuhama, wengine wengi wanajiunga
 
Haya!!!!!!!!maajabu mengine hayo watanzania tutafakari MIMI...................NAAPA KWAMBA NITAKUWA MWAMINIFU KWA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA KWAMBA NITAIHESHIMU,KUILINDA NA KUITETEA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ILIYOWEKWA KWA MUJIBU WA SHERIA EE MWENYEZI MUNGU NISAIDIE!!!!!! halafu baada ya hayo unakuja kujitoa bungeni kwa kisingizio eti humtambui Rais ambaye ndiye kichwa cha hiyo jamhuri kwa mujibu wa katiba nani mnayemuwakirisha katika maamuzi hayo ya kipuuzi? nani aliyewaambia mtoke bungeni?nani mlimuuliza? kwa maana ya dhana ya serikali shirikishi ambayo mara zote ina washirikisha wananchi wake
Tafakari 1.Jamhuri gani aliyoiamini? 2.Katiba gani anayoilinda? 3.Mungu gani amsaidie?

Wewe ni msaliti kabisa wa Waliowema. Huuoni utetezi wanaojaribu wanachadema kukuletea mabadiliko yenye tija! Au wewe nawe umemezeshwa sumu.
 
Nimeamua rasmi kukihama chama nilichokipenda kutokana na yaliyojiri bungeni. Narudisha kadi wiki ijayo.

Nilikipenda sana chama changu lakini kuendelea kuwa mwanachama nitakuwa siitendei haki dhamira yangu.

Nimeng'amua kwamba CCM ndicho chama makini chenye kuitakia mema nchi yangu Tanzania na kitakachoweza kuleta maendeleo ya kweli kwa kila mwananchi.

Chadema pamejaa ubinafsi na ukabila. Aidha viongozi wamekosa dira na ukomavu wa kisiasa.

Wenye mawazo kama ya kwangu juu ya Chadema mnakaribishwa CCM.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi!

Zidumu fikra za Mwenyekiti na RAIS wetu JK.

CHADEMA haitaki kuwa na wanachama wengi kwani ni chama kwenye usajili wa kudumu. Kwa sasa kinahitaji watu wa kukipigia kura tu. Hata wanachama wa CCM watakipigia kama wakipenda.
 
Siku zote nuru na giza havipatani, Chadema ni Nuru, CCM ni giza, nenda zako ukaishi gizani.

Mawazo ya walio wengi hata wanachama wa CCM wanaunga mkono maamuzi ya kijasiri ya wabunge wa CDM. Tuko pa1 sana na esp. Jumuia ya wasomi nina imani waliojiweka madarakani kama watawala hatima yao iko ukingoni tukiungana tutaweza.
 
Nimeamua rasmi kukihama chama nilichokipenda kutokana na yaliyojiri bungeni. Narudisha kadi wiki ijayo.

Nilikipenda sana chama changu lakini kuendelea kuwa mwanachama nitakuwa siitendei haki dhamira yangu.

Nimeng'amua kwamba CCM ndicho chama makini chenye kuitakia mema nchi yangu Tanzania na kitakachoweza kuleta maendeleo ya kweli kwa kila mwananchi.

Chadema pamejaa ubinafsi na ukabila. Aidha viongozi wamekosa dira na ukomavu wa kisiasa.

Wenye mawazo kama ya kwangu juu ya Chadema mnakaribishwa CCM.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi!

Zidumu fikra za Mwenyekiti na RAIS wetu JK.

Hapa ndio nimekuona kuwa wewe ni mgonjwa. Nenda baba nenda na wasalimie waambie sie hatujambo na tumeshukuru kuondoka kwako maana ungetuletea matatizo zaidi.

Kwanza nina uhakika huna kadi ya kurudisha wala hujawahi kuwa mwanachama wa CHADEMA.

Umetoswa viti maalum nini??? Vya wanawake hivyo mjomba!!!!!!!!!!!
 
Tanzania siyo ya maamuzi ya CC ni ya maamuzi ya raia wake kuchagua wakitakacho kwa manufaa na maendeleo yao. Katiba ya nchi inampa mamlaka aliyeko madarakani kuendelea kutawala milele. Waheshimia wa CHADEMA ndio wanataka kuifanya TZ kuwa mpya kwa kutaka new Katiba. Kwa mtanzania mweoye dira hata kama si mwana CDM lazima atawaunga mko watetezi ambao ni CHADEMA. Tuwaunge mkono jamani tuache kufanya mambo kama watu wa enterior wanaouza nchi kwa kofia na khanga.
 
Nimeamua rasmi kukihama chama nilichokipenda kutokana na yaliyojiri bungeni. Narudisha kadi wiki ijayo.

Nilikipenda sana chama changu lakini kuendelea kuwa mwanachama nitakuwa siitendei haki dhamira yangu.

Nimeng'amua kwamba CCM ndicho chama makini chenye kuitakia mema nchi yangu Tanzania na kitakachoweza kuleta maendeleo ya kweli kwa kila mwananchi.

Chadema pamejaa ubinafsi na ukabila. Aidha viongozi wamekosa dira na ukomavu wa kisiasa.

Wenye mawazo kama ya kwangu juu ya Chadema mnakaribishwa CCM.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi!

Zidumu fikra za Mwenyekiti na RAIS wetu JK.

malaria sugu- tumekupata tumekusikia!
 
ili uwe mkweli zaidi ...lete ushahidi wa kadi ya chadema uliyonayo na umekata tawi gani

chadema waka waka,ndicho chama kitakacholeta mabadiliko pekee, go go chadema! Kulikomboa taifa letu la tanzania, hatutadanganyika tena, hadi hapo kitakapoeleweka."this is like special olympic" you will never walk alone" we are together, and together.
 
Nimeamua rasmi kukihama chama nilichokipenda kutokana na yaliyojiri bungeni. Narudisha kadi wiki ijayo.

Nilikipenda sana chama changu lakini kuendelea kuwa mwanachama nitakuwa siitendei haki dhamira yangu.

Nimeng'amua kwamba CCM ndicho chama makini chenye kuitakia mema nchi yangu Tanzania na kitakachoweza kuleta maendeleo ya kweli kwa kila mwananchi.

Chadema pamejaa ubinafsi na ukabila. Aidha viongozi wamekosa dira na ukomavu wa kisiasa.

Wenye mawazo kama ya kwangu juu ya Chadema mnakaribishwa CCM.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi!

Zidumu fikra za Mwenyekiti na RAIS wetu JK.

Hongera sana kwa kuwa na maamuzi ya kiume

Siku zote fanya unachodhani kinakusaidia mkuu... usisikile watu wanasema, chambua sera na itikadi, fanya amuzi endelea na maisha. hiyo ndio demokrasia

On the same spirit, naomba uwe na dhamira ya kweli ya kukemea na kuepuka rushwa, ubazazi, unyanganyi, ukwepaji kodi na jitahidi sana huko uendako kuwa a "just" person. misingi ya taifa letu ni haki na usawa na wala sio itikadi ya chama
 
mpuuzi huyu. Hana lolote. Namba yake ya kadi i wapi? Alikata lini na tawi lipi? Alipojiunga alishawishiwa na nini? Kama ni maslahi binafsi huku CHADEMA hakuna. Huna haja ya kututangazia kama ambavzo hukuwahi kutujulisha wakati unajiunga na CDM. TUNAJUA UMETUMWA HUMU NA RUDI KAWAAMBIA WAKUBWA ZAKO HUKU jF si mahali pa kuzungumzia upuuzi. Kwa heri...wasalime wote huko CCM na waambie mapinduzi ya kwe5i kwa nchi yetu yaletwazo na watanzania wote kupitia chama makini CHADEMA yaja na wala hayana muda mrefu
 
Tanzania siyo ya maamuzi ya CC ni ya maamuzi ya raia wake kuchagua wakitakacho kwa manufaa na maendeleo yao. Katiba ya nchi inampa mamlaka aliyeko madarakani kuendelea kutawala milele. Waheshimia wa CHADEMA ndio wanataka kuifanya TZ kuwa mpya kwa kutaka new Katiba. Kwa mtanzania mweoye dira hata kama si mwana CDM lazima atawaunga mko watetezi ambao ni CHADEMA. Tuwaunge mkono jamani tuache kufanya mambo kama watu wa enterior wanaouza nchi kwa kofia na khanga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom