Nimeshindwa, Nahama Chadema

Nenda kwa wajinga wenzako, nenda mkaibe, kwani ulizoea kuiba sasa huku hakuna kuiba hatukuhitaji
 
Nimeamua rasmi kukihama chama nilichokipenda kutokana na yaliyojiri bungeni. Narudisha kadi wiki ijayo.

Nilikipenda sana chama changu lakini kuendelea kuwa mwanachama nitakuwa siitendei haki dhamira yangu.

Nimeng'amua kwamba CCM ndicho chama makini chenye kuitakia mema nchi yangu Tanzania na kitakachoweza kuleta maendeleo ya kweli kwa kila mwananchi.

Chadema pamejaa ubinafsi na ukabila. Aidha viongozi wamekosa dira na ukomavu wa kisiasa.

Wenye mawazo kama ya kwangu juu ya Chadema mnakaribishwa CCM.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi!

Zidumu fikra za Mwenyekiti na RAIS wetu JK.

Una hama au unahama? Kwenda wapi? Wewe ni Ccm mnafiki mkubwa.
 
Nimeamua rasmi kukihama chama nilichokipenda kutokana na yaliyojiri bungeni. Narudisha kadi wiki ijayo.

Nilikipenda sana chama changu lakini kuendelea kuwa mwanachama nitakuwa siitendei haki dhamira yangu.

Nimeng'amua kwamba CCM ndicho chama makini chenye kuitakia mema nchi yangu Tanzania na kitakachoweza kuleta maendeleo ya kweli kwa kila mwananchi.

Chadema pamejaa ubinafsi na ukabila. Aidha viongozi wamekosa dira na ukomavu wa kisiasa.

Wenye mawazo kama ya kwangu juu ya Chadema mnakaribishwa CCM.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi!

Zidumu fikra za Mwenyekiti na RAIS wetu JK.
Nenda haraka karudishe kadi kwa mkwere atakuchagua kwenye viti maalum, si wameongezewa viwili na NEC kimoja chako.
Kidumu Chaka Chua Matokeo
 
Nimeamua rasmi kukihama chama nilichokipenda kutokana na yaliyojiri bungeni. Narudisha kadi wiki ijayo.

Nilikipenda sana chama changu lakini kuendelea kuwa mwanachama nitakuwa siitendei haki dhamira yangu.

Nimeng'amua kwamba CCM ndicho chama makini chenye kuitakia mema nchi yangu Tanzania na kitakachoweza kuleta maendeleo ya kweli kwa kila mwananchi.

Chadema pamejaa ubinafsi na ukabila. Aidha viongozi wamekosa dira na ukomavu wa kisiasa.

Wenye mawazo kama ya kwangu juu ya Chadema mnakaribishwa CCM.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi!

Zidumu fikra za Mwenyekiti na RAIS wetu JK.

Mkuu ulivyomalizia ni kama mwanachama wa kudumu wa CCM.........
 
Nimeamua rasmi kukihama chama nilichokipenda kutokana na yaliyojiri bungeni. Narudisha kadi wiki ijayo.

Nilikipenda sana chama changu lakini kuendelea kuwa mwanachama nitakuwa siitendei haki dhamira yangu.

Nimeng'amua kwamba CCM ndicho chama makini chenye kuitakia mema nchi yangu Tanzania na kitakachoweza kuleta maendeleo ya kweli kwa kila mwananchi.

Chadema pamejaa ubinafsi na ukabila. Aidha viongozi wamekosa dira na ukomavu wa kisiasa.

Wenye mawazo kama ya kwangu juu ya Chadema mnakaribishwa CCM.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi!

Zidumu fikra za Mwenyekiti na RAIS wetu JK.

We kopo huachi tu kutuuzi?
 
Anayesema anahama CHADEMA safari njema. Inawezekana siyo wala mwanaCHADEMA isipokuwa ni propagandist wa mafisadi. CCM na magazeti yao wanawapotosha wananchi wakikwepa kueleza msingi wa topic. TOPIC hatukubaliani na mfumo uliomweka kikwete madarakani. Katiba mbovu isiyoruhusu kupinga matokeo. Kwa waelewa ujumbe umefika. Ila kwa wasiojua tuwape pole, maana kutojua siyo makosa yao!

HONGERA CHADEMA, WEMBE ULE ULE NA MSHIKAMANO UDUMISHWE. Wenye kuleta migogoro tuwatambue mapema na tuwang'oe. CHADEMA chama makini lakini mafisadi waliojazana CCM hawawezi kuacha propaganda zisizo na ukweli.

ETI RAIS anasema nchi ina udini! Naona yeye ndiye anapandikiza udini,amekosa cha kusema.
 
Huyoo alifuata khanga amekosa...pole huku hatugawi khanga wala vilemba rudi ulkozoea na utagaiwa hd PIchu. Yawezekana n! Mbwa mwitu ulyejifanya kondoo...
 
Nimeamua rasmi kukihama chama nilichokipenda kutokana na yaliyojiri bungeni. Narudisha kadi wiki ijayo.

Nilikipenda sana chama changu lakini kuendelea kuwa mwanachama nitakuwa siitendei haki dhamira yangu.

Nimeng'amua kwamba CCM ndicho chama makini chenye kuitakia mema nchi yangu Tanzania na kitakachoweza kuleta maendeleo ya kweli kwa kila mwananchi.

Chadema pamejaa ubinafsi na ukabila. Aidha viongozi wamekosa dira na ukomavu wa kisiasa.

Wenye mawazo kama ya kwangu juu ya Chadema mnakaribishwa CCM.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi!

Zidumu fikra za Mwenyekiti na RAIS wetu JK.

Kila la heri huko uendako kama umeona ndipo panapokufaa...
mtu anapochagua kua CCM mi hupata mawazo matatu;

1.Sio mtu makini katika kuchambua hoja na pia anapeleka siasa kama ushabiki wa simba na yanga.
2.mvivu wa kufikiri
3.hana mapenzi ya dhati kabisa kwa taifa hili/au ameshibishwa na system iliyopo kiasi kwamba kawa kipofu na haoni jinsi wananchi wanavyoteseka huko mtaani

Any way kwanza sina uhakika kama uliwahi kua mwanachadema au ni mamluki tu mnaopost ujinga wenu humu,
 
Huutufai na hujui nini maana ya democracy ya kweli na hujui upo wapi na unatakiwa uwe wapi na nafikiri hata hujui Tanzania ipo vipi na enaendeshwa vipi.Nakushauri ukisharudisha kadi yako kaa kwanza utafakari kabla ya kujiunga na CCM
Ama kweli waswahili walisema Nyani haoni k......!!!wewe unamshutumu mwenzio kwamba hajui democracy,democracy gani uijuayo wewe usiyetaka kumpa uhuru mwenzio wa kuamua anachotaka?Democracy Is for people by the people to the people.
hapo uhuru wa maamuzi ni wa mtu binafsi wala hashinikizwi na wewe amua kivyako.:target:
 
Tena bora umegundua mapema kwamba CHADEMA siyo size yako. Hivi wewe ulidhani CHADEMA ni chama cha wacheza mdundiko na kiduku kama CCM? Kwa taarifa yako, CHADEMA ni chama makini kwa watu makini wenye nia ya dhati ya kuikomboa Tanzania kutoka katika umaskini. CHADEMA si chama cha mafisadi na wapenda dezo kama wewe. Hakuna haja ya kurudisha kadi wiki ijayo, tunataka uturudishie sasa. Hatutaki wababaishaji kama wewe.
 
Hujawahi kuwa mwana Chadema wala Chadema hakuna watu wenye akili za kushikiwa kama wewe. Kama sikosei wewe ni Malaria Sugu. Hoja za kibwege kama hizi zinauzika mtaa wa Lumumba kwa Chiligati na Makamba.
 
huyu siyo mwanapinduzi,hii ni njia mbadala kuliko maandamano ,ni rahisi na yenye ujumbe mzito,swala ni tume ya uchaguzi,uliza cuba castro walimfanyaje na sasa mambo yao poa.
 
Nimeamua rasmi kukihama chama nilichokipenda kutokana na yaliyojiri bungeni. Narudisha kadi wiki ijayo.

Nilikipenda sana chama changu lakini kuendelea kuwa mwanachama nitakuwa siitendei haki dhamira yangu.

Nimeng'amua kwamba CCM ndicho chama makini chenye kuitakia mema nchi yangu Tanzania na kitakachoweza kuleta maendeleo ya kweli kwa kila mwananchi.

Chadema pamejaa ubinafsi na ukabila. Aidha viongozi wamekosa dira na ukomavu wa kisiasa.

Wenye mawazo kama ya kwangu juu ya Chadema mnakaribishwa CCM.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi!

Zidumu fikra za Mwenyekiti na RAIS wetu JK.
Tambwe Hiza type mko wengi sana.
Hivi kuna watu wameajiriwa kufanya huu upumbavu JF.
Grand Old Party CCM I feel sorry for your people!Tasteless!

All the way countrymate,that's where brains of your type fit.
 
Haya!!!!!!!!maajabu mengine hayo watanzania tutafakari MIMI...................NAAPA KWAMBA NITAKUWA MWAMINIFU KWA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA KWAMBA NITAIHESHIMU,KUILINDA NA KUITETEA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ILIYOWEKWA KWA MUJIBU WA SHERIA EE MWENYEZI MUNGU NISAIDIE!!!!!! halafu baada ya hayo unakuja kujitoa bungeni kwa kisingizio eti humtambui Rais ambaye ndiye kichwa cha hiyo jamhuri kwa mujibu wa katiba nani mnayemuwakirisha katika maamuzi hayo ya kipuuzi? nani aliyewaambia mtoke bungeni?nani mlimuuliza? kwa maana ya dhana ya serikali shirikishi ambayo mara zote ina washirikisha wananchi wake
Tafakari 1.Jamhuri gani aliyoiamini? 2.Katiba gani anayoilinda? 3.Mungu gani amsaidie?
 
wala hujawahi kuwa mwanachama wa chadema baki tu hukohuko ulikokuwa. hatuwataki wenye mioyo myepesi na waenye fikra finyu kwenye chama chetu makini chadema!
 
Nimeamua rasmi kukihama chama nilichokipenda kutokana na yaliyojiri bungeni. Narudisha kadi wiki ijayo.

Nilikipenda sana chama changu lakini kuendelea kuwa mwanachama nitakuwa siitendei haki dhamira yangu.

Nimeng'amua kwamba CCM ndicho chama makini chenye kuitakia mema nchi yangu Tanzania na kitakachoweza kuleta maendeleo ya kweli kwa kila mwananchi.

Chadema pamejaa ubinafsi na ukabila. Aidha viongozi wamekosa dira na ukomavu wa kisiasa.

Wenye mawazo kama ya kwangu juu ya Chadema mnakaribishwa CCM.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi!

Zidumu fikra za Mwenyekiti na RAIS wetu JK.

Siku zote nuru na giza havipatani, Chadema ni Nuru, CCM ni giza, nenda zako ukaishi gizani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom