Nimeshindwa kutoa jibu mchango wenu tafadhali!

Aku anipishe mie...sikutoka kwetu kufata ugali. hawezi kazi simply akae kando, kama damu inachemka kwanini nizeeke kwa kutamani ikiwa yeye hawezi. Domo chafu...kazi hawezi kipi kiniweke?
With a wife like you, who needs to get married. Bora kuwa mwanachama wa chama cha "Wagumu".
 
Kila kitu kinawezekana ni uamuzi tu, huyo dada asijenge mazingira ya kutoaminika.
 
Aku anipishe mie...sikutoka kwetu kufata ugali. hawezi kazi simply akae kando, kama damu inachemka kwanini nizeeke kwa kutamani ikiwa yeye hawezi. Domo chafu...kazi hawezi kipi kiniweke?

Mwenzanguu!!!!!!!!!!!!!!!! Bora basi awe mpole, matusi ya nini? Ila mi naona ni hasira, kwamba yeye hatakaa apate hiyo kitu, we hiyo kitu ni tamu eti, sasa akiona mwenzie anang'aa anafikiri ana mtu mwingin, anajidai kumfundisha uoga kwa kuwa mkali ili masikini mke awe mpore, aache kufanya mambo yake kwa raha zake kisa mume kawa mbogo.
 
Kwani kusex lazima? Mbona watu tunamiaka kadhaa na tupo fresh bana
watu wangapi hawafanyi
aliapa kifo ndo kitakachowatenganisha
kukosa sex ndani ndo kifo?
Mwambie atulie

Tatizo jamaa anakuwa mkari bila sababu, naona hilo ndo tatizo.
 
Back
Top Bottom