Nimeshindwa kutoa jibu mchango wenu tafadhali!

Kweli kama alivyosema Kbd hapo kwenye red, inawezekana huyu dada ndo anajenga mazingira ya kutoaminiwa na mumewe. We dada jitahidi kuwa nomo!

Yeah, nadhani hiyo kwa kiasi fulani inaweza ikapunguza tatizo.
 
kilicho mkuta huyo mume ashum kingekukuta wewe...afu mwenzio anakujibu km unavyojibu wewe....UNGEJISIKIAJE?:ballchain:

Jamani msikurupuke, kumbuka kuwa huyu mwanaume ananipa shutuma ambazo sizo kwa kutojiamini yeye. Please read below

Anacholalamika mkewe ni kwamba mumewe amekuwa anamtuhumu
na kumtukana kila siku kuwa ana wanaume wengine huko nje, matusi na kero
za huyu mwanaume zimezidi ndo akafikia kuniuliza hili swali afanyeje
? aachane nae?
Kinachomkera zaidi ni hayo matusi na kelele za kutuhumiwa mara kwa mara

Depression ya kukosa game ni maradhi tosha kwangu maana inaniweka majaribuni na sasa isitoshe hizo shutuma zisizo za msingi. Anipishe...sikuumbwa na chuma
 
Kwani kusex lazima? Mbona watu tunamiaka kadhaa na tupo fresh bana
watu wangapi hawafanyi
aliapa kifo ndo kitakachowatenganisha
kukosa sex ndani ndo kifo?
Mwambie atulie
dada yangu umenena na kama we gazeti unikuwa unammezea mate ushindwe na ulegee
 
Kwani kusex lazima? Mbona watu tunamiaka kadhaa na tupo fresh bana
watu wangapi hawafanyi
aliapa kifo ndo kitakachowatenganisha
kukosa sex ndani ndo kifo?
Mwambie atulie

Mtawa!!!???:)
 
Aku anipishe mie...sikutoka kwetu kufata ugali. hawezi kazi simply akae kando, kama damu inachemka kwanini nizeeke kwa kutamani ikiwa yeye hawezi. Domo chafu...kazi hawezi kipi kiniweke?

si ulikubali mtaishi kwa shida na raha? We wapenda raha2?
 
dada yangu umenena na kama we gazeti unikuwa unammezea mate ushindwe na ulegee
Duh, siko hivyo ndugu yangu mi sipendi waliochanganya rangi
half-cast, yeye baba yake ni Raia wa Norway mama yake ni
Mkurya. Sipendi mchanganyiko kama huo.
 
Mtawa!!!???:)
Nasikia wanawake wanaweza lakini nahisi huwa wanasumbuliwa na majini
mahaba isipokuwa hawafahamu tu, hilo nimemsikia mchungaji wa kanisa
moja lililoko Tabata.
 
ingekua ni mama ka paralyse, baba angetulia???

Kwani kusex lazima? Mbona watu tunamiaka kadhaa na tupo fresh bana
watu wangapi hawafanyi
aliapa kifo ndo kitakachowatenganisha
kukosa sex ndani ndo kifo?
Mwambie atulie
 
sidhani kama samaki anafunzwa kuogelea, vitu vingine havifundishwi madarasani, na vitu hizi ndio vinatufanya tupime uelewa wamtu wa haraka na flexibility.

Atumie individual talent tu, haina haja ya kumwacha mume au kumletea mazarau au kumfanya ajisikie pungufu,

kushindwa tu kumshughulikia mkewe kwa mwanamme yeyote inaleta matatizo ya kisaikolojia.
 
kumkimbia mtu eti kwa sababu ametukana is a lame excuse... huyo mwanaume anahitaji psychological and other supports katika kipindi hiki kigumu cha maisha yake...so sad kwamba watu wanaona raha kutoa viapo ambavyo circumstances zinapo-demand hawawezi kuvitekeleza
 
huyo mdada ndo muda wakuchukua credit kwa mume wake.ampende zaidi na kumuheshimu zaidi kama mume wake coz chochote kikipungua atajisikia vibaya but hayo mambo mengine busara na hekima zitatumika polepole?kwan ameandikiwa dozi
 
kumkimbia mtu eti kwa sababu ametukana is a lame excuse... huyo mwanaume anahitaji psychological and other supports katika kipindi hiki kigumu cha maisha yake...so sad kwamba watu wanaona raha kutoa viapo ambavyo circumstances zinapo-demand hawawezi kuvitekeleza

Wewe umeoa? Kiapo chako kikoje?
 
Mbona mnazunguka jamani? Kama mdaktari wamecomfirm mwanaume hawezi kazi na mwanamke anahitaji kupata haki yake basi ni busara za mke aither waachane akaolewe kwingine au amvumilie mumewe..
 
Aku anipishe mie...sikutoka kwetu kufata ugali. hawezi kazi simply akae kando, kama damu inachemka kwanini nizeeke kwa kutamani ikiwa yeye hawezi. Domo chafu...kazi hawezi kipi kiniweke?

Aisee!

Hii sasa ndo inaitwaga "wife material".
 
Back
Top Bottom