nimeshindwa kuhandle relation mbili kwa pamoja

mkonowapaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
1,493
767
nahisi ni mwanaume wa kipekee sana.

huwa siwezi kuwa na relation zaidi ya moja at a time..na kama ikiwa hivyo basi ujue lazima ntadakwa tuu!!

najua si jambo jema kuwa na relation zaidi ya moja bila sababu ila ni jambo ambalo lipo

nahisi mbinu na ujanja vimenipita kushoto........

alimaliza kunihadithia rafiki yangu........nilikosa cha kumshauri zaidi ya kumwambia atulie tu na wake!
 
kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja inatakiwa uwe angarau na degree ya uongo.
 
wengi wanakuwa na mahusiano zaidi ya moja.
lakini ni lazima siku utakamatika tu, hata utumie
mbinu gani.
 
wengi wanakuwa na mahusiano zaidi ya moja.
lakini ni lazima siku utakamatika tu, hata utumie
mbinu gani.

unapokua na mahusiano ya wapenzi zaidi ya mmoja kuna
ambaye utakua na malengo nae na mwingine ni bya the way ila
inahitajika skills ili wote waridhike kwamba wanapendwa na unawajali bila
hata mmoja wao kujua ..Hili la kuwa na wapenzi wawili kwa mwanaume ni muhimu sana kwani
Ratio ya mwanaume mmoja ni kwa wanawake saba hadi tisa kidunia

kwa hiyo inabidi wengine wasaidike kwa njia moja au nyingine
 
RAHISI SANA! mkikutana mwambie kuwa huyo MKE anamficha, mpango wa pembeni
anaelezwa ukweli! hawana shida ck hizi kama unaweza kupiga p*****u freshi utamhodhi!

nahisi ni mwanaume wa kipekee sana.

huwa siwezi kuwa na relation zaidi ya moja at a time..na kama ikiwa hivyo basi ujue lazima ntadakwa tuu!!

najua si jambo jema kuwa na relation zaidi ya moja bila sababu ila ni jambo ambalo lipo

nahisi mbinu na ujanja vimenipita kushoto........

alimaliza kunihadithia rafiki yangu........nilikosa cha kumshauri zaidi ya kumwambia atulie tu na wake!
 
Handling two gals or boys for one person is just a waste of time,money and u cant give them all the love they nid...at the end u just end up loosing the best ones...coz no woman will be able to accept that we r two and still b with u..So,its better to have the one u real love..

Another case.. mtu unaposeme wanawake wengi so u must have at least many gals..u will just end up collecting stones and left the Diamonds to goo...

Bora alivyoamua one relationship....
 
Back
Top Bottom