Nimeshindwa kufanya maamuzi.

Katengeneze shavu huo ndio mpango. Sadaka utatoa cku nyingine.
 
dah!!...umekuwa JF addicted kiasi hicho mkuu..mpaka kanisan. utulivu wa kusiniliza neno mungu hakuna....shetani amekuzidi mbinu mkuu ni sawa na hujafika kanisani kabisa..heri hata ya yule amebaki nyumbani kuliko wewe umeenda kuifanya nyumba ya ibada sehemu ya mzaha
 
Bado hujawa serious na Mungu wako na pia hujajua ni nini kinakupeleka church!!!ukijitambua utapata jibu la nini cha kufanya ktk hali kama hii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom