Elections 2010 Nimeshinda kwa kishindo!!!

heshima kwako mkuu, safari ni ndefu bado, tusichoshane mapema

Kama safariunajua bado ni ndefu basi usingetuhabarisha kuwa umeshinda kwa kishindo tena kwa tiketi ya ccm! subiria hadi safari yako itakamalizika ndipo utuambie kuwa umeshindwa kwa kishindo na ututajie jimbo lako.
 
Umeshinda kwa kishindo na utete maslahi ya wa Tz kwa kishindo

nashukuru sana mkuu, hilo hasa ndilo lililonisukuma kugombea, mwaka huu mtashangaa mbunge wa ccm akiisimamia vilivyo serikali ya ccm!!! tuombeane tuvuke salama
 
nashukuru sana mkuu, hilo hasa ndilo lililonisukuma kugombea, mwaka huu mtashangaa mbunge wa ccm akiisimamia vilivyo serikali ya ccm!!! tuombeane tuvuke salama
utaisimamiaje serekali ya ccm, wakati huo sio msimamo wa chama? rejea post yako nyuma uliosema kwamba uliunga mkono Six kunyag'anywa kadi kwa sababu hakua anacheza santuri ya chama, huoni hapo umeisha anza kuji kanyaga? na umeona kaka/dada zako waliokuwa na tabia hizo wameondolewa kwenye kinyanganyiro cha ubunge.
 
asante sana na sitakwa na suluhu na mafisadi, believe me!!



umenena mkuu, lakini kumbuka mtu mtulivu huchagua kw utulivu. KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI



sio swali zuri hata kidogo kwani upashanaji habari si lazima uwe wa aina ya interview ama usaili!



nashukuru kwa kunitia moyo. sina woga wala wasiwasi hata kidogo, nimejiandaa vizuri na chama changu kiko sawasawa mkuu, jimboni kwangu tutashinda ngazi zote



hapana mkuu, natumia za CCM, za cadema bado hazijatamadunishwa kitanzania



kati ya watu ambao sipendi kufanana nao ni hao uliowataja. binafsi niliunga mkono sita alipotakiwa kupokonywa kadi ya ccm. huwezi kuwa CCM kisha ukapiga siasa za kudandia kama unacheza santuri za muziki, hao uliowataja wamepungua sana kwenye mizani ya weledi



mimi ni mwanasiasa na mrema hajapata kuwa mwanasiasa hata siku moja bali siku zote anafanya biashara



utajua soon mkuu, vuta subira



jina na jimbo vinafuata soon

hongera lakini inaonekana waliokuomba kugombea/wadhamini wako hawaitaki mema maendeleo ya watanzania zaidi ya maslahi binafsi
 
Kazi unayo mkuu, we jipigie kura lakini ya Rais mpe Dr. Slaa anayejua mambo. Mungu amesha tupa huyo shujaa. Msimamo wangu ni kumpigia mtu na si chama.
 
Hongera zako
naona mwaka huu wakina Kuchikuchi wamelizira hilo Jimbo,,, Ukifika huko bungeni kama Jamaa hatakupa jukumu la kumsaidia Prof.......Japo uwezekano ni mkubwa saana,,,,Plz upiganie hili daraja tunaloahidiwa kila kukicha. Nadhani wanajimbo watakukumbuka kwa hilo

All the best MU
 
Back
Top Bottom