Vincent Agustino anafikiri kujulikana mpaka ukimbie na box la kura za maoni, hizo ni mbinu za CCM wanatoa rushwa waziwazi iliwatangazwe redioni, kama ni kujulikana kwa hivo acha nisijulikane.kama kujulikana ni mpaka ukamatwe na takukuru, then CCM ni vinara wa ku-strategize, if that is what you people call strategies!
watu wenyewe mko ulaya hata hamjajiandikisha, GS usijitambulishe wamuulize Mwakalinga yaliyomfika mara baada ya kujitambulisa.Sasa campaign unafanya kwa kificho ? Hata kama watu wanataka kukupigia kura au kampeni watawezaje mtu mwenyewe hutaki kujitambulisha?
Hivi unaelewa sacrifices za uongozi wewe kweli ? Unaelewa essence ya campaign ? Unaelewa majukumu ?
Au tunataniana tu ?
kama anahitaji mawazo yako ataku PM lakini kama mawazo yako ndiyo haya sidhani kama anahaja nayo, tuendelee kuchangia kwa vile GS mwenyewe yupo humu JF atachambua mchele na pumba, ref. Mwakalinga watu walimshambulia hadi akakimbia kijiwe.Mgombea ubunge tayari kashaonyesha kukosa umakini katika maamuzi.
Kwa upande mmoja, anataka kufanya ugombea wake ubunge kuwa siri hapa JF, hivyo hataki kutuambia jimbo wala jina lake.
Kwa upande mwingine hawezi kuwa msetiri wa habari zake, baada ya kutaka kutoanika jina na jimbo lake, anakuja JF na kutumwagia mpunga, mpaka na vidokezo vya "wilaya yenye jimbo moja" kuturahisishia kazi.
Mgombea ubunge inaonekana anashindwa mtihani mdogo tu wa maamuzi, akifika njia panda anashindwa kuchagua njia ya kwenda, akitaka kuwa msiri anaishia kutoa siri, ataweza ku deal na classified documents za vita dhidi ya ufisadi ?
Strategy iko wapi? Solid decision making iko wapi? Huu ndio uongozi mbadala tunaousubiri? Uongozi unaoogopa kivuli chake wenyewe unawezaje kusimama against the CCM apparatus of Stalinistic machinations ?
Nyani NgabuUmeshanitibua na kwenye uchaguzi mkuu na ushindwe kwa sababu hustahili kuwatumikia watu wa jimbo lako.
kama anahitaji mawazo yako ataku PM lakini kama mawazo yako ndiyo haya sidhani kama anahaja nayo, tuendelee kuchangia kwa vile GS mwenyewe yupo humu JF atachambua mchele na pumba, ref. Mwakalinga watu walimshambulia hadi akakimbia kijiwe.
watu wenyewe mko ulaya hata hamjajiandikisha, GS usijitambulishe wamuulize Mwakalinga yaliyomfika mara baada ya kujitambulisa.
Nyani Ngabu
na wewe ushindwe na ulegee roho za kwanini hazipendi kuona wengine wakifanikiwa kwa kila jambo nyie ndio mnaombea baba zenu wafe mrithi bila jasho shame on you.
Eti linaombea mwenzake ashindwe hiyo ni akili au matope, ni sawa na wale wanaoombea mafuriko yaje ili nyumba ya jirani ibomoke kwa kuwa yeye kashindwa kujenga, shame on you again.
Kwani wewe umejiandikisha jimbo gani, tuambie kwanza wewe ni wa jimbo gani ili uulize vinginevyo ataulizwa na wanajimbo, angekuwa ni mgombea urais sawa, kama jimbo lake linahitaji reli ifike jimboni wakati wewe umejiandikisha Wawi Pemba utamsaidiaje ili reli ivuke bahari.Kwa spidi hii, mtu yeyote anaweza kuja humu, kutumia a phony moniker na kuwaambia anagombea ubunge, mkakubali.
Utajuaje kwamba huyu kweli kashinda kura ya maoni na si muhuni tu anayetaka kuwachezea akili?
Hata kama ni kweli kwa nini anajificha? Hajiamini? Ana kitu anachoficha? Mtu anatafuta kura za wananchi kwa kujificha, does this make sense ?
Kwa kumlinganisha na Mwakalinga aliyekimbia maswali una maana GS anaogopa maswali hapa ? Kama anaogopa maswali ya wananchi atawawakilishaje? Ataelewa vipi matatizo ya wananchi ?
Kama hizi ndizo type za wagombea wa CHADEMA basi CCM watatanua kwa miaka mingi ijayo tu. I am sorry to break it to you, huwezi kuwa na mgombea anayeogopa kivuli chake mwenyewe ukategemea ataangusha machine la CCM.
Kwani wewe umejiandikisha jimbo gani, tuambie kwanza wewe ni wa jimbo gani ili uulize vinginevyo ataulizwa na wanajimbo, angekuwa ni mgombea urais sawa, kama jimbo lake linahitaji reli ifike jimboni wakati wewe umejiandikisha Wawi Pemba utamsaidiaje ili reli ivuke bahari.
Honger Mkuu hii ni atua moja mbele, kaza buti tupate bunge la kwanza lenye tija tangia uhuru
Nyani Ngabu
ni mchawi tu ndiye anayeombea wenzake mabaya, kwa nini uombee mwenzako ashindweee? hata kama kuna kosa limefanyika? hiyo ni busara kweli? hebu fikiria au lala utakapoamka kesho utajiona kuwa ulifanya kosa then tubu kwa mwenyezi Mungu.
Nyani Ngabu
kubali umeonyesha weakness vinginevyo nitanzisha thread 'NYANI NGABU AOMBEA MWANA JF MWENZAKE ASHINDWE' ili tujadili kama hapo kuna busara imetumika.