Nimeshanganyikiwa Sijui ntafanyaje naombeni wenu wanaJamiiForums

Umechanganyikiwa nn ss, mimba miezi mingapi now, ikizidi minne sio yk km ina wiki co yk
 
Wewe umesema mara ya mwisho kufanya naye mapenzi ilikuwa tarehe 3, je mara ya kwanza ni lini?

Na mmeshafanya mara ngapi?
hawa vijana wa siku hizi wa saniii. yaani baada ya kusikia mimba ndo anapata wasiwasi. ningemjua huyu mwanamke ni nge m coach namna ya kukaba huyu bondo flava anayetaka kukwepa kunywa kikombe chake
 
ebu suburi kijana hapa hamna cha kuchanganyikiwa. je wewe ulimweleza kuwa unataka kuzaa nae? kama hapana basi u not to blame....as long as mwanaume hajumwambia mwanamke kuwa wataka kuzaa nae bai ni kosa la demu yeye ndio anatakiwa kujikinga dhidi ya mimba
 
Duh kweli vijana tunavyofanya vitu tunatakiwa kuwa makini mm nina umri 21 nafanya kazi kwenye ofice private ..ktk shughuli za kikazi kuna mdada mkampenda naye akanipenda tukaanzisha uhusiano ambao umedumu kwa miezi 4 mpaka sasa cha ajabu mara ya mwisho kukutana kimwili tarehe 3.09.2012 jana ananipigia cm ananiambia ana ujazito wangu jambo ambalo limenichanganya xana mpaka nkaomba ruhusa niende home naumwa je ni kweli inawekezana au anataka kuniuzia mbuz kwenye gunia naombeni msaada nfanyaje .!kama makosa nimeshafanya sitak kulaumiwa thanks a lot wanajf.

Inaonyesha wazi wewe UKIMWI huuogopi, lakini kwa kuwa unaogopa mimba kiasi hicho basi zingatia kutumia kinga. Ndo maana inaitwa kinga,! kinga unachokiogopa.
 
Inaonyesha wazi wewe UKIMWI huuogopi, lakini kwa kuwa unaogopa mimba kiasi hicho basi zingatia kutumia kinga. Ndo maana inaitwa kinga,! kinga unachokiogopa.
kinga ya nini utakulage pipi kwenye karatasi mkuu
 
Sasa dogo ulifanya mapenzi bila kutumia kinga ulitegemea nn? Unavuna upandacho!
 
Back
Top Bottom