Nimeshanganyikiwa Sijui ntafanyaje naombeni wenu wanaJamiiForums

Wewe umesema mara ya mwisho kufanya naye mapenzi ilikuwa tarehe 3, je mara ya kwanza ni lini?

Na mmeshafanya mara ngapi?
 
hiyo namba saba hapo ina maaanisha nini kwenye hiyo sentensi?
iwe mushaija,siku hizi kiswahili sijui kinapelekwa wapi?yani tarakimu zimekuwa herufi na herufi zimekuwa tahajia basi mradi fujo tu ,haishangazi kuona siku hizi vijana hawaju kiswahili wala hawaju kiingereza kwa mfano!ah!
 
Inawezekana anayo au anakujaribu kutaka kujua msimamo wako, tuliza munkari kijana usiwe na mapepe mwambie mkapime. Siku nyingine ujifunze ujue matokeo ya ngono ni mimba au magonjwa
 
Inawezekana kabisa akawa ameshika mimba kwasababu kitalaamu dalili huanza kuonekana kuanzia siku ya 10 hadi 14 baada ya tendo.Nakushauri ujiandae tu kukabiliana na hilo tatizo la kulea mtoto.
 
we achaa tu,ndo tutafanyaje sasa?mara wengine wanauliza nikiliwa koni kuna madhara,mara nataka wa kuzaa nae kwa mkataba mama kanituma,mara ntaka wa kutoka nae weekend hii,mara ukimfanyia hiivi msichana gani atakataa,mara jinsi ya kumla tigo mpenzi wako,bas mradi tu MMU imekuwa kitu gani sijui!

Imekuwa kimbilio la Teen age...
 
mkuu unakula kubeba una haha inasikitisha sana kijana mdogo hivi unaingiliwa hjajipanga hata kimaisha umeshapatika kalinywe
 
Ndo nataka j'tatu nkapime kwa 7 bado cjamini kabisa.

Huamini nn mkuu, wakati mnakula kavukavu ulikuwa unategemea nn??
Km ipo ndani ya miezi minne ambayo ndo ulianza uhusiano "ku do" na huyo demu yaweza kuwa yako tu.
 
Dah,miezi mi4 tu mmesha tiana mara kibao?
Ama kweli hayo ni maji mara moja.

Hongera sana,usi changanyikiwe,subiri mshahara utoke ukatoe
mahari kwao then fanya mambo umuoe haraka sana.

Enzi hizo vodacom walikuja na VODA FASTA,hii ndoa itaitwa
NDOA FASTA.
 
Mara ya mwisho ni tarehe 3-9-2012 eeeeeh
kumbe kuna za siku ya nyuma heheheh we kubali tu ukute ile siku ya kwanza ndo ikaingia
 
Back
Top Bottom