Nimeshangaa usiku huu na habari za ITV

Kubwa kuliko yote ni kuona Mwigulu Mchemba akiendelea na kampeni Igunga pamoja na kashifa yote hiyo, tena anacheza na kuselebuka mziki pamoja na yule Mbunge mwenye usingizi wa pono.
 
Mimi naona mzee mengi naye ni gamba!,ndio maana hatabiriki na hivi sasa naye ni sehemu ya mkakati wa kuisaidia magamba party ishinde igunga kupitia media press yake hii,wakimtisha kidogo huwa anagwaya......
Mengi hana uhakika wa uadilifu wake katika ulipaji kodi, lazima akumbatie magamba kwa usalama wa biashara zake ili aweze kupona. Siku zote waadilifu ni sumu ya chama cha magamba.
 
Mpendwa hawa jamaa wameishiwa, ukweli ni kwamba ukiangalia umati unaowasikiliza utawahurumia. Ndo maana hata wanaogopa kuonyesha umati wa chadema. wanaonyesha sehemu ya jukwaa na mahali walipo watoto. Sina imani km ITV inapaswa kuitwa media institution
 
Ndugu wana JF salaam toka Brussels
Nimekuwa naangalia news usiku huu na nimeona matukio 3

1.Waziri Mkuu akiwa Serengeti leo , kwenye hadhara wameonyesha watu wakimsikiliza nimeona kuna mdada alikuwa ana cheza cheza wakati wa hotuba ya Pinda na open space kati kati nikawa najiuliza kama kulikuwa na muziki ukiendelea wakati hotuba ya Pinda inarindima .

2.Nimeona Mgombea wa Chadema Igunga na habari ya Utajiri wa kijiji alichokuwa anahutubia leo .

3.Nimeona Mukama akiongea , na Komba , na Mgombea wa CCM .Nimeshangaa sana sana kuona picha ya umati ulio kuwa kwa Pinda ndiyo wale wale ambao waneonyeshwa Igunga .Kwa kweli nimeshangaa mno na kama kuna yeyote kaona habari za usiku huu tafadhali anasaidie kuelewa .Je ITV wanataka kutueleza nini ? Wana chakachukua mkutano au hawakuwa na picha za matukio ya CCM za leo au Pinda kaonyeshwa kimakosa hakuwa na watu ? Nisaidieni kuelewa am confused .[/QUO

Jana mimi ndio kweli niliamini kama ITV ni Pro CDM.. maana walijitahidi ku-edit zile picha za video...maana watu waikuwa wachache sana kwenye ule mkutano wao..cameraman matokeo yake akawa amewavuta watu wsiozidi 20 hivi kwa karibu...na akiwa anamuinyesha mzungumzaji alikuwa akionyesha sehemu ya juu tu kuanzia kwenye kifua..ili hadhira isionekane kwa mbali.

Inawezekana kama kwenye mikutano hii ya kijiji kwa kijiji kuna baadhi ya maeneo hakuna watu wenge au hakuna ushawishi mkubwa wa chama.
 
Back
Top Bottom