Nimeshangaa kuona mtoto wa miaka 2.5 anaumwa kisukari.

unajua mshangao nilio nao una maana kubwa.?hawa wazazi wa huyo mtoto wote ni watumishi katika kanisa.pia hapo juu kuna mchangiaji kasema huo ugonjwa ni wakurithi. Nimejaribu kufanya utafiti wa haraka haraka nikaona kwa upande wa mume hawajawahi kupata huo ugonjwa.hata upande wa mwanamke ambao ndiyo upande wetu pia hatujawahi kuuguza/kuugua kisukari.
hakuna ugonjwa wa kurithi hizo ndio imani potofu sasa, mie nakueleza hilo ni pepo huelewi, na katika watu wanaosumbuliwa na mapepo ni hao wanaojíita watumishi wa mungu, kwahiyo waeleze hilo sio tatizo la kihospital hiyo spiritual problem waombe mtoto atapona kwakifupi wazazi wa huyo mtoto ndio imani zao zinaumwa ndo maana wamekubali mtoto wa 2.5 anasukari hiyo ni maajabu hata kwa madokta
 
unajua mshangao nilio nao una maana kubwa.?hawa wazazi wa huyo mtoto wote ni watumishi katika kanisa.pia hapo juu kuna mchangiaji kasema huo ugonjwa ni wakurithi. Nimejaribu kufanya utafiti wa haraka haraka nikaona kwa upande wa mume hawajawahi kupata huo ugonjwa.hata upande wa mwanamke ambao ndiyo upande wetu pia hatujawahi kuuguza/kuugua kisukari.[/QUOTE

Kaka umepewa ushauri wa kutosha, kama ni watumishi wambie waombe bila kukoma. Hujui shetani anapenda sana nyumba za watumishi kupima imani yao? Kisukari kwa mtoto mdogo kiasi hicho ni hatari. Ila kama ni hospitali za vijijini nahisi kama watakuwa wamechemka, imani yangu inanipeleka huko ndiyo maana wamewaambia waende Bugando.
 
%kubwa ya coment zinasema PEPO! Hivyo nadhani kuna kitu cha msingi ninapaswa kukifanya mapema iwezekanavyo.
 
Hellow jf dr's mtoto wa dada yangu kapatwa na huu ugonjwa wa kisukari ki-ukweli kabisa sikuwa kusikia kuhusu huu ugonjwa kuwapata watoto wadogo.hapa napata hofu kwa kuwa niliwahi kusikia huo ugonjwa hauna tiba.(sina uhakika) wana jf ninachoomba ni uelewa wenu 1. nini chanzo cha kisukari 2.ipi tiba yake

Unajuwa mi kuanza kudhani mtoto wa miaka 2.5 anaweza kupatwa na mapepo mpaka kisukari ni jambo lisiloniingia akilini. mapepo yaende kwa mtoto kufanya nini?. king'asti alikuambia vizuri kuwa hiyo inaitwa juvenile diabete, nikakuambia maji ni uhai. umeisoma vizuri ile blog ya maji? (maajabuyamaji2.artisteer.net).

kwa kawaida siku utakapozidiwa utakimbizwa na ambulance ICU, njiani utatundikiwa dripu la maji/chumvi. Utangulizi | maajabu ya maji
 
kiongozi sio kwamba ushauri wako nimeutupa.ila ninajaribu kukusanya ushauri then nipate pa kuanzia.
 
Hellow jf dr's mtoto wa dada yangu kapatwa na huu ugonjwa wa kisukari ki-ukweli kabisa sikuwa kusikia kuhusu huu ugonjwa kuwapata watoto wadogo.hapa napata hofu kwa kuwa niliwahi kusikia huo ugonjwa hauna tiba.(sina uhakika) wana jf ninachoomba ni uelewa wenu 1. nini chanzo cha kisukari 2.ipi tiba yake
mkuu afadhari umerudi, leo tu nilikuwa nalijadili jambo hili na mtu fulani, ningependa kujuwa iwapo mtoto huyo mlikuwa mnampa soda au juisi zingine za viwandani? tafadhari nitafurahi ukinijibu na mimi nitakujibu tena
 
ki-ukweli soda alikuwa anakunywa ila mala moja moja saaana yaani sikukuu mpaka sikukuu.
 
ki-ukweli soda alikuwa anakunywa ila mala moja moja saaana yaani sikukuu mpaka sikukuu.

hapa nipo geita nalala kesho nitakuwa mwanza tena kwa mgonja. Nitasoma maendeleo yake kisha nitayaweka hapa.
 
poleni sana. hiyo inajulikana kama juvenile diabetes type 1. inaweza kusababishwa na vitu viwili:
1.Autoimmune- ndio sababu kuu, virusi vinastua mwili kutengeneza sumu ya kinga, ambayo mwisho zinaharibu betta cells ambazo ziko kwenye pancreas na kusababisha insulin isitengenezwe kwa usahihi. inashukiwa kuwa ni Coxsackie B4 virus ama Cytomegalovirus
2.mara chache inatokea shambulizi makali kwenye pancrease (sijui ndo yaitwa kongosho?),ama kwa sababu zozote za kiugonjwa pancrease kuondolewa kwa operesheni

kuna uwezekano wa kuipata kwa 6/100 endapo ndugu yako wa tumbo moja anayo( so ni muhimu kuwaangalia kwa ukaribu hao nduguze manake type 1 diabetes ina-attack ghafla sana hivyo ni hatari). Akizingatia ushauri wa wataalamu haina madhara makubwa sana na atakua salama,inshaallah.

Ahsante sana Dr umefanya vitu vyako hapa. Bandiko hili limeenda shule sana.
 
hapa nipo geita nalala kesho nitakuwa mwanza tena kwa mgonja. Nitasoma maendeleo yake kisha nitayaweka hapa.

tarehe 13 sukari ilikua 30.5 leo sukari kwa kipimo cha asubuhi saa nne ilikuwa tano.leo mchana sukari ipo 20. Bado jioni sijui itakuwa ngapi.kifupi haileweki inapanda na kushuka.kuhusu uzito wa mtoto ana kilo 13.
 
Ni lazima kumfundisha yeye, wazazi wake na hata hausi geli nidhamu ya kudhibiti anachokula (diet control). Kila chakula kina kiwango fulani ya glukosi, naambiwa labda ni mchicha tu usiokuwa nayo, nikiwa mgonjwa wa kisukari pia (IDDM) namshauri yafuatayo:
1. Apunguze matumizi ya wanga -- haikwepeki bali kiasi kipungue. Asiwe anakula milo mikubwa -- kidogokidogo lakini kwa frequency zaidi.
2. Asahau kuhusu soda na juisi za viwandani, anywe maji zaidi. Juisi natural ni nzuri ila sio kwa matunda yote, k.m. maembe yana kiwango kikubwa zaidi cha sukari hivyo yaepuke.
3. Kama amesha anza kutumia dawa k.v. insulin au vidonge basi muhakikishe kuwa dozi inafuatwa bila kukosa.
4. Magonjwa k.v. homa, mafua n.k. yanaweza kusababisha kuongezeka au kupungua kwa kiwango cha sukari, kuweni makini

NB: Vipimo vichukuliwe asubuhi kabla ya b/fast, mchana kabla ya mlo na jioni pia kabla ya mlo. Vipimo vya baada ya mlo mara zote (au mara nyingi) vitasoma namba kubwa tu.

Nitakuja tena.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom