nimesahau password na nick name ya lock in gallery kwa nokia phone

Eversmilin Gal

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
778
269
naombeni wakuu mnisaidie ni jinsi gani naweza kuunlock cm yangu niliinstall lock in gallery app kutoka ovi store sasa password ninayoifahamu nikijaribu kuingiza haikubali alternative ni nick name na yenyewe haikubali kama kuna njia nyingine ya kuanilock naombeni mnisaidie kwani imelock kila kitu
 
Dah man hapo only nnayoijua mm n hardware restore! Hapa namaansha itakubidi upige *#7370# hapo ita ask pasword za simu ukiziweka tuu itafuta klak2 kwenye simu so hapo itabd ufanye backup kwanza ya kontacts na messages ! Ila kama data zpo kwenye memory card au kwenye simcard haztafutika.....

Ukishndwa tugee feedback
 
Toa betri kisha weka tena ikiwaka wahi kuitoa hiyo program fasta,hata mi ilishanizingua sana,na kama vipi restore
 
kuna baadh ya sim nyengne zinakataa *#7370# hakuna namba nyengne za kuweza kurestore?
 
Back
Top Bottom