Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,284
Kumekucha!!!
Asprin shabiki .......:smile-big:
Kumekucha!!!
mi naamini hoja ya msingi hapa ni KUMKARIBISHA,mheshimiwa regia jamvini......!
mambo mengine naona huyo kiranga anakuwa too theoretical!
for your information kiranga ni kwamba regia ATAINGIA BUNGENI!
karibu sana dada-lake-na-mimi!
achana na ''siasa-za-vitabuni'' za huyo kiranga!
TUNAANDAA KIKAO KIKUBWA SANA NA POMBE NYINGI SANA katikati ya wiki....!hiyo ndo kazi yangu bwana
mtanzania yeyote ana haki ya kupumzika popote pale. Kiranga hawezi kupangia watu maisha!Kupumzika baada ya kampeni ni lazima kuondoka Kilombero ?
si kweli hata kidogo. Kutumikia nchi yako au jimbo lako si lazima uwe mwanasiasa. Labda wewe tu ndo unadhani kuwa siasa ndo njia pekee ya kulitumikia taifaUkisema Regia kaamua kuja mjini kwa sababu kaamua siasa tena yeye basi utakuwa unakubali kwamba Regia alikuwa hana interest ya moyoni kusaidia maendeleo Kilombero, alikuwa anatafuta ajira tu na ukubwa sasa imeshindikana hana muda wa kupoteza huko bush.
Mtu mwenye nia ya kuleta maendeleo Kilombero hata akishindwa ubunge atatafuta namna nyingine ya kufanya kazi na watu wa huko, sio kuwakimbia wiki moja baada ya uchaguzi.
Mwalimu hebu kaa pembeni kwa muda kwanza. Tafazali please!
jamani eeh mnadhani ni baa gani itafaa kumkaribisha dada regia....?
mi nadhani tungelijadili hili....
speed in a wrong direction is irrelevant
Kama hujui huna haki ya kubishia hoja zangu kuhusu wawakilishi na wadau wanaojinadi kutaka uwakilishi kuwa karibu na wananchi, mimi najua Regia Kilombero si primary domicile yake.
panahuu pale?.....Kwa Josefina?
Hii concept nzima ya "kurudi" kutoka Kilombero mimi napata tabu nayo sana. Inaonekana Kilombero -pamoja na majimbo mengine ya vijijini- ni sehemu za kwenda wakati wa uchaguzi tu, uchaguzi ukiisha watu wanarudi kwenye shughuli zao za kawaida mijini.
Badala ya wagombea walioshindwa mwaka huu kubaki huko vijijini kuimarisha vyama vya upinzani, kuisadidia jamii pamoja na kupanga mikakati ya kushinda hivi viti katika uchaguzi ujao, tunaona increasingly "wanarudi" mijini.
Wapinzani wakiendelea kushindwa katika kila chaguzi zijazo watashangaa kweli kwa mwendo huu wa kwenda majimboni nyakati za chaguzi tu, na chaguzi zikiisha wanarudi mijini kwenye mitandao na urahisi wa maisha ?
Tunawatendea haki wananchi kweli kwa mwenendo huu ?[/QUOTE
Kakwambia haendi tena??
Karibu sana Regia tupo pamoja.
Achana na Kiranga wivu unamsumbua tu hana lolote.
kweli mkuu NN,mimi sipendi manyanyaso na uonevu aisee. Dada wa watu kapigana kufa na kupona huko kilombero licha ya mizengwe aliyokumbana nayo halafu anarudi hapa kutujulia hali halafu anaanza kushambuliwa bila sababu ya msingi. Lazima nimkingie kifua. Dada wa watu hajatamka ana mipango gani lakini tayari watu washaanza kumpangia. Ila diana wa pale calabash kachangia sana huu wema (teamo anamjua huyu). Wako katika ujenzi wa taifa nn aka mzee wa byuroo lol
Nimemkumbuka rais wangu mstaafu Mheshimiwa sana Mkapa... "WATU WENGINE WANA WIVU WA KIKE" Hivi kuna wivu wa kike na wa kiume?
loud and clear cousin--- pamoja kama kiranga na ubishimi naamini hoja ya msingi hapa ni kumkaribisha,mheshimiwa regia jamvini......!
Mambo mengine naona huyo kiranga anakuwa too theoretical!
For your information kiranga ni kwamba regia ataingia bungeni!
Karibu sana dada-lake-na-mimi!
Achana na ''siasa-za-vitabuni'' za huyo kiranga!
Tunaandaa kikao kikubwa sana na pombe nyingi sana katikati ya wiki....!hiyo ndo kazi yangu bwana
...
Binafsi naomba u-protest yale matokeo kwa kufuata taratibu, najua umechoka na inawezekana finances zikawa tight lakini naomba usichoke... we have high hopes
mtanzania yeyote ana haki ya kupumzika popote pale. Kiranga hawezi kupangia watu maisha!
si kweli hata kidogo. Kutumikia nchi yako au jimbo lako si lazima uwe mwanasiasa. Labda wewe tu ndo unadhani kuwa siasa ndo njia pekee ya kulitumikia taifa
unaijua mipango yote ya regia wewe?
and thats where we differ, agreed to disagreeunajitahidi sana, lakini unavyozidi kujitahidi ndivyo unazidi kujiadhiri.
Actually speed in the wrong direction is very relevant. Because the more you move in the wrong direction the further away from the right destination you get. One must always head in the right direction.
Na hapa regia amekuwa na speed in the wrong direction. Badala ya kuzama zaidi kilombero na kuwajua zaidi wananchi wa kilombero, yeye wiki moja tu baada ya uchaguzi kawakimbia.
Speed in the wrong direction, very relevant.
yeah sure... Ni wa kike alisema msekwa, sijui inakuajenimemkumbuka rais wangu mstaafu mheshimiwa sana mkapa... "watu wengine wana wivu wa kike" hivi kuna wivu wa kike na wa kiume?