Nimerudi,Niliwamiss, Nawapenda sana!

Gagurito

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
5,600
803
Sijui ni nin kilitokea bt akaunt yangu ilifungwa kwa muda wa siku 90 kufuatia moja ya mchango wangu jukwaa la siasa, nakumbuka REJAO ndio chanzo cha yote. Katika kipindi chote hicho sikuwezajua nini kinaendelea humu jukwaani, najutia sana kutokuwepo. Napenda kuwapongeza kwa kuuanza mwaka salama, kwa kuendeleza kijiwe na upendo miongoni mwetu! Nimerudi kwa kasi ya ajabu sana. tupo pamoja sasa. Kwa wale rafiki zangu napenda mnisamehe kwa yaliyojitokeza!!
 
Karibu sana Gagurito!
Mi nilishajua wewe ndio yule member anayejiita Chacharito!
 
Karibu sana Gagurito,

pole kwa yaliyokukuta, yaliyopita si ndwele, tugange yajayo! Usivunje tena sheria za jf....jela sio kuzuri kabisa!

Happy new year!
 
Nimekoma ndugu yangu duh! Asante sana!
 
Karibu sana Gagurito,

pole kwa yaliyokukuta, yaliyopita si ndwele, tugange yajayo! Usivunje tena sheria za jf....jela sio kuzuri kabisa!

Happy new year!

Helo wifi habari ya j2 msalimie brada.

Gagu karibu nimekumiss pia.
 
Sasa we unabishana na Rejao jamani?? Tena jukwaa la siasa? Ulijipunguzia marks aisee! Anyways.......wellcome back kaka!
 
Kwa hyo ile Id yako nyingne utaendelea kuitumia au utaiacha?
 
Fuateni ushauri wa Sweetlady, kila unachoandika hapa, fuata sheria za JF! Rejao hana ubavu wa kukupa ban. Ban huwa unaitafuta mwenyewe!

aaahaahhaaaa... The dude is right here.... Skamoo.
 
Sijui ni nin kilitokea bt akaunt yangu ilifungwa kwa muda wa siku 90 kufuatia moja ya mchango wangu jukwaa la siasa, nakumbuka REJAO ndio chanzo cha yote. Katika kipindi chote hicho sikuwezajua nini kinaendelea humu jukwaani, najutia sana kutokuwepo. Napenda kuwapongeza kwa kuuanza mwaka salama, kwa kuendeleza kijiwe na upendo miongoni mwetu! Nimerudi kwa kasi ya ajabu sana. tupo pamoja sasa. Kwa wale rafiki zangu napenda mnisamehe kwa yaliyojitokeza!!
Karibu tena. Pole sana kwa yaliyokusibu. Hav a nice w.end!
 
Back
Top Bottom