Nimerudi Bongo - TZ

Unatuaminisha kuwa jf inapatikana bongo tu? hii inakufanya wana-jf wakuelewe ulewa wako.
 
Huyu Timor ni Mgagagigikoko, sijui mnamkumbuka wakuu. Alikuwa kuzimu na sasa amerudi duniani. Teh teh teeeh.
 
Huyu Timor ni Mgagagigikoko, sijui mnamkumbuka wakuu. Alikuwa kuzimu na sasa amerudi duniani. Teh teh teeeh.

Tumekusoma Mkuu.Naona karejea kwa Ungo kashukia Tabata pale Baracuda vile.......!!!!
 
Sikutegemea thread kama hii,it meanz huko ulikokua hakukua na intanet?

Anataka Cheap Popularity, Kwani alituaga wakati anatoka??, Naomba kama kuna thread alianzisha wakati anatimka aiweke hapa!
 
Wapendwa wana JF napenda kuwajulisha nipo Bongo tena kwa mara nyingine,Wapenzi wangu na mahasimu wangu wote ni vema mjue tusije onana mkasema sijawaambia.Kijiwe changu ni hapa hapa JF 24/7

Hapa sio kijiwe bana, wengine hapa ni ofisi.
 
huyo karudi kutoka kwa babu,kwani hamjui kwa babu hakuna network?
 
Back
Top Bottom