nimepoteza kadi yangu ya kupigia kura

Joeli

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
4,941
3,396
attachment.php

ILANI: picha hii imetengenzwa kwa photoshop. siwajibiki kwa matumizi ya picha hii tofauti na kuleta burudani
 
dah mwenye hiyo picha anafanana na McLeghan au Shemeji au Popo au Ndengenini wa OK
 
atakayeokota cheti changu cha kupigia kura naomba ani PM

attachment.php

ILANI: picha hii imetengenzwa kwa photoshop. siwajibiki kwa matumizi ya picha hii tofauti na kuleta burudani
CCM+DMV+298.JPG

ILANI: picha hii imetengenzwa kwa photoshop. siwajibiki kwa matumizi ya picha hii tofauti na kuleta burudani
 
Kuna watu wananya hiyo business, sijui wewe mmoja wao. I mean ile ya vyeti fake ....lol

hii nafanya for fun, nna kazi kubwa zaidi za kufanya zaidi ya hii, hii uwa ni wakati sina cha kufanya ndo uwa najisikia kufanya something stupid like hivi, mwenzenu naogopa kutiwa nguvuni bado najipenda hahahahhaha
 
Mkuu niPM na mimi niinjoy. Kiukweli nakiri bila woga kuwa wewe ni mkali na NIMEKUVULIA KOFIA.
nyasiro ni affiliate wangu kuna kazi ambayo haijakamilika nimemtumia aicheki anipe feedback
 
Last edited by a moderator:
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom