Nimepotelewa na vyeti vyangu, Naweza kupata vingine?

Me nashanga watu wanapoteza orignal certificates zote nashdwa kuelewa walikuwa wanaenda navyo wote kwa wakat mmoja?
 
Habari zenu wana jamii.nilikuwa naomba kujuzwa ni namna gani naweza kufuatilia veti vya form 4 vilivyo potea?kuna ndugu yangu amepotelewa natanguliza shukrani wandugu?
 
pole sana jitihad zinahitajika nilishakuwa na tatizo kama lako nilikata tamaa bt nchi hii pesa mbele nikapata certification note ya vyeti japo kuwa sio vyeti kama vya mara ya kwanza

We unataka veti vya mala ya kwanza au vyet?
 
Ukishapoteza vyeti original andika maumivu, utapaswa kupiga ripoti polisi kisha utoe tangazo gazetini ( hasa ya serikali) kisha peleka hilo tangazo necta watakutengenezea statement of results (sio cheti original)
 
Habarini! Kuna mtu anaitwa annania samweli alisomea mbeya secondary school centre. Kuna sehemu alikisahau cheti chake cha o'level arusha. Naomba msaidie kurusha kwenye groups mbalimbali na fb ili kama akipatikana tuweze kuwasaliana. Endapo atapatikana awasiliane na namba 0754 626166 au 0762 293426. Ahsanteni
 
Hivi asipopatika haraka njia nzuri ya kukiweka salama hicho cheti ni ipi ni.kupeleka polisi ili kiende eneo husika au kuna utaratibu mwingine
 
jamani kuna cheti cha form 4 original nimekiokota cha ndgu Andrew H Lyimo amesoma Arusha, pamoja na cheti cha kuzaliwa na leaving na cheti cha darasa la saba, vyote ni original. Nilivyopeleka polisiCENTRAL MOSHI wakanambia sasa watammpataje na hakuna namna ya mawasiliano yoyote. Wakaniambia nirudi navyo nipeleke siku nyingine akiwepo OCD ili nimkabidhi OCD mwenyewe kwani pale mapokezi wangeweza kumissplace kwani wanaingia kwa shift, na wakashauri kuwa niendelee kufanya mpango wowote wa kuweza kumpata hivyo nimeamua kutoa taarifa ndani ya ukurasa huu. kwa yeyote anayemfahamu huyu mtu basi awasiliane nami 0713119760/0752845125
 
Salaam Wakuu,
Nina ndugu yangu anayeishi nje ya dsm,sasa kwa bahati mbaya amepotelewa na cheti chake cha kidato cha nne,kutokana na kubanwa na majukumu ameniomba nimsaidie kufwatilia baraza kama nitaweza kufanikiwa kupewa cheti kingine.

Ningependa kujua taratibu ya kufwata ili kama inawezekana nimsaidie katika hili.

Naomba wenye uzoefu na jambo hili wanisaidie ushauri tafadhali.
 
kwa wale ambao zoezi la uhakiki limeshafanyika. Wale ambao vyeti vyao vimepotea ni hatua zipi walipaswa kufuata.

Sent from my HUAWEI Y300-0100 using JamiiForums mobile app
 
Anza kutoa taarifa kwa vijana na IGP MANGU upate loss certificate halafu mengine yatafuatia
 
Back
Top Bottom