Nimepotelewa na vyeti vyangu, Naweza kupata vingine?

Ndugu zanguni wanajukwaa la jamiiforum, Salaam.

Ni masikitiko yangu makubwa sana kwamba Mtanzania yoyote akipoteza cheti chochote kiwe cha kidato cha nne au cha sita au chochote kinachotolewa na baraza la mitahani (NECTA) eti huna fursa ya kupata nakala ya cheti husika.

Imenishangaza pale wanapokuwambia ukatangaze kwenye gazeti la serikali kwa maana ya kwamba ukishatangaza unapewa a dublicate copy kama polisi wanavyotoa leseni mara inapopotez!!

Sasa najiuliza, ni watanzania wangapi wanakosa fursa ya kuajiriwa kwa sababu tu ya sera za serikali yetu kuwa mbovu. Ni kikwazo gani kinachofanya mtanzania asiwe na haki ya kupata nakala ya cheti chake ili aendelee kuchangamkia fursa za ajira zinazotoka kuliko kuwekewa kikwazo tena na serikali yake isiyo na ajira za kutosha.

Mbaya zaidi ata kama una transcript TUME YA AJIRA hawaiitaji kwa ajili ya kukupa ajira maana wanatangaza kabisa kuwa hawakubali transcript kama huna cheti husika.

Watanzania wengi wako njia panda ndugu zanguni na si mimi peke yangu naomba nipatiwe mwarobaini wa hili swala kama maandamano nielewe, na kama ni kuuwa pia nijue. Kama si vyote hivi basi naomba Wizara na Waziri husika aangalie hili swala kwa undani kwa sababu ukienda baraza la mitahani wanasema wizara ndiyo inahusika na sera kwa hiyo wanafuata taratibu zilizowekwa na wizara. Jamani wiraza na watu na baraza la mitahani ni watu pi siyo majengo useme hayawezi kufanya mabadiliko, tunapata shida viongozi wetu tunaomba mtusaidie, siyo sisi tumetaka vyeti kupotea. Chonde chonde waheshimiwa warekebisha sera naomba mliangalie hili kwa undani vinginevyo kunaongeza kundi la wasio na ajira bila sababu za msingi kabisa.

Naomba msaada wenu wana jukwaa nimwone nani anisaidie??
 
Ndugu waziri wa elimu na wadau wote wa jamii forum, mm n mtanzania. Elimu yangu ni degree ya pili katika biashara na fedha.Hila kwa sasa sina hajira. Lakin ndugu zangu baraza la mitihan la Tanzania linanipa adhabu kali sana kwa kupoteza vyeti nvangu vya form four na form six, mpaka najiona km sikusoma kabisa.

Adhabu hiyo nayoipokea mpaka muda huu imeshanigharimu jumla ya shs 1000000.Ndugu wanaforum,mwaka 2006 nilivamiwa na vibaka nipo kwn daladala nikaibiwa nveti nvangu nva kidato cha sita na nne.Wakati napoteza document hizo nilikuwa mwaka wa pili chuo kikuu. Baada ya kumaliza chuo kikuu nikasoma MBA finance ,ili kili niwe na nafasi zaid ya ajira. But baada ya kumaliza MBA ,kila nikiomba kaz Natakiwa niwe na nveti nva form four na six,na natakiwa nilipie shs 20000 au 32000kwa express.Nimeshaomba mara50 , na kote huko sijapata kazi.

My in take ni kwamba naomba wazir au mbunge yeyote mwenye uwezo na swala hili anisaidie, ili nipewe certification ya kunisaidia kutoka baraza, kwan nateseka sn na natumia pesa nyingi sn mpaka nimekata tamaa. Pia naliomba baraza linisaidie kwn mm sikupoteza vyeti hinvo makusudi. Baraza lifanye uchunguz kwn shule tulizosoma na lijue ukweli kwamba mm ndo mwenye cheti na linisaidie.
 
Pole, jukwaa lina watu wengi hili, tarajia msaada lakini na kupondwa juu yake, kuwa mpole bado asbh watakuja tu
 
Pole sana mkuu...ila huu uandishi sijui ndio haraka ama kuchanganyikiwa!.
Tuombe isiwe ndio upo kwenye ubora wako!!!.
 
Samahan sana,wadau kwa kuwakwaza na uandishi wangu,wa haraka na kuchanganyikiwa.Natumain mmenielewa vizuri tu.Ni Vyeti vyangu ,samahan wadau
 
Ndugu wazir wa elimu na wadau wote wa jamii forum,mm n mtanzania.Elimu yangu ni degree ya pili katika biashara na fedha.Hila kwa sasa sina hajira .Lakin ndugu zangu baraza la mitihan la Tanzania linanipa adhabu kali sana kwa kupoteza nveti nvangu nva form four na form six,mpaka najiona km sikusoma kabisa .Adhabu hiyo nayoipokea mpaka muda huu imeshanigharimu jumla ya shs 1000000.Ndugu wanaforum,mwaka2006 nilivamiwa na vibaka nipo kwn daladala nikaibiwa nveti nvangu nva kidato cha sita na nne.Wakati napoteza document hizo nilikuwa mwaka wa pili chuo kikuu.Baada ya kumaliza chuo kikuu nikasoma MBA finance ,ili kili niwe na nafasi zaid ya ajira.But baada ya kumaliza MBA ,kila nikiomba kaz Natakiwa niwe na nveti nva form four na six,na natakiwa nilipie shs 20000 au 32000kwa express.Nimeshaomba mara50 ,na kote huko sijapata kazi.My in take ni kwamba naomba wazir au mbunge yeyote mwenye uwezo na swala hili anisaidie,ili nipewe certification ya kunisaidia kutoka baraza,kwan nateseka sn na natumia pesa nyingi sn mpaka nimekata tamaa.Pia naliomba baraza linisaidie kwn mm sikupoteza nveti hinvo makusudi.Baraza lifanye uchunguz kwn shule tulizosoma na lijue ukweli kwamba mm ndo mwenye cheti na linisaidie.

Neindiwe,

Mwenye tatizo kama hilo sio wewe tu, ninafahamu inaumiza sana, hata hivyo kuna utaratibu mbadala wa kupata document mbadala kila panapohitajika certification, naamini ndio document unayomaanisha inaku-cost kwenye kuipata na kuituma i.e. Statement of result. Hii watu wengi wanaitumia na inakubalika kitaifa na kimataifa, submit popote pale duniani companies, INGO, UN agencies, Government institutions etc watakubali.

Najua tatizo lako wewe imekuwa ni ghalama unayotumia, kwa jinsi nilivyokuelewa ni kwamba kila unapotuma application zako huwa unaambatanisha na copies za vyeti, ki uhalisia unatakiwa kuonyesha original certificates wakati umeshamaliza process zote za recruitment yaani hatua ya mwisho baada ya interview. Sasa hiyo ghalama wewe inakujaje?

All the best,
 
Ajira sio hajira. Hiyo mba umeipatia chuo gani? Pole sana ushauri wangu kamwone waziri shukuru ana jenifa mhagama haraka sana kabla bunge halijarudi.
 
Hizo shilingi 1,000,000/- ulimpa nani? Na kwa ajili gani? umechkua hatua gani kwa matumizi ya hizo fedha zilizoshindwa kuzaa matunda?

Mkiambiwa Rushwa ni adui wa HAKI inakuwa shida kuamini.

Sasa kuanzia sasa kuwa makini kwa matumizi yako ya fedha kutatua hili tatizo la sivyo utaishiwa kutapeliwa kila wakati.

Kumbuka siyo kila Jambo linahitaji utoe fedha ili upate utatuzi, mambo mengine ni kufuata utaratibu tu na unafanikiwa.

Usiwe mwepesi kutoa rushwa haitasaidia.
 
Ndugu yangu chakii ,siyo rushwa.Baraza la mitahan la Taifa ,linadai kwamba ukipiteza vyeti basi ,haupewi cheti kingine,ila ukitaka kuomba kazi popote unakwenda baraza la mitihani unalipia shs 20000 --------- cheti huko huko ulipoomba na hauruhusiwi kuchukua hiyo statement,wanasema ni makosa.Sasa mimi nimeapply sehemu 50.Namuomba wazir au mbunge yeyote atusaidie sisi sote tuliopoteza vyeti ,tupatiwe certification nyingine.Baraza lifanye uchunguz kwn shule tulisoma na wajue kama sisi kweli ni wenye hivyo vyeti au la.Lakin Baraza wanachukua tu pesa na hatusaidiwi kabisa,na hii ni kama mradi kwao lakin sisi tunateseka na sisi ni watanzania tunahitaji kusaidiwa.
 
Google samahanini kwa kuwakwaza kwa maandishi yangu,lakin natafuta ufumbuzi ambao utatusaidia wote,kwan kama nimepoteza leo na naadhibiwa hivi basi kesho ndugu yako au ww pia.
 
jamani muoneeni huruma binadamu ameumbwa kukosea ila ujumbe mmeupaya
Mi mbona shem wangu kaajiriwa na alipoteza cheti akapewa statement of results..!!
 
Ndugu yangu chakii ,siyo rushwa.Baraza la mitahan la Taifa ,linadai kwamba ukipiteza vyeti basi ,haupewi cheti kingine,ila ukitaka kuomba kazi popote unakwenda baraza la mitihani unalipia shs 20000 --------- cheti huko huko ulipoomba na hauruhusiwi kuchukua hiyo statement,wanasema ni makosa.Sasa mimi nimeapply sehemu 50.Namuomba wazir au mbunge yeyote atusaidie sisi sote tuliopoteza vyeti ,tupatiwe certification nyingine.Baraza lifanye uchunguz kwn shule tulisoma na wajue kama sisi kweli ni wenye hivyo vyeti au la.Lakin Baraza wanachukua tu pesa na hatusaidiwi kabisa,na hii ni kama mradi kwao lakin sisi tunateseka na sisi ni watanzania tunahitaji kusaidiwa.
Hapa kuna tatizo kwa kweli hii sheria ya baraza ya kutotoa cheti kingine na ilhali wanjua kuna matukio ya kupoteza vyeti kila siku yapo? au ndio mtaji wa kupata? inaamna kila aplication moja unatakiwa kulipa 20,000? hili nilikua silijui kwa kweli..
 
Google samahanini kwa kuwakwaza kwa maandishi yangu,lakin natafuta ufumbuzi ambao utatusaidia wote,kwan kama nimepoteza leo na naadhibiwa hivi basi kesho ndugu yako au ww pia.
Hebu sema ukitoa hiyo 20,000 unapewa nini? na haifai kutumika tena?
 
Ndugu waziri wa elimu na wadau wote wa jamii forum, mm n mtanzania. Elimu yangu ni degree ya pili katika biashara na fedha.Hila kwa sasa sina hajira. Lakin ndugu zangu baraza la mitihan la Tanzania linanipa adhabu kali sana kwa kupoteza vyeti nvangu vya form four na form six, mpaka najiona km sikusoma kabisa.

Adhabu hiyo nayoipokea mpaka muda huu imeshanigharimu jumla ya shs 1000000.Ndugu wanaforum,mwaka 2006 nilivamiwa na vibaka nipo kwn daladala nikaibiwa nveti nvangu nva kidato cha sita na nne.Wakati napoteza document hizo nilikuwa mwaka wa pili chuo kikuu. Baada ya kumaliza chuo kikuu nikasoma MBA finance ,ili kili niwe na nafasi zaid ya ajira. But baada ya kumaliza MBA ,kila nikiomba kaz Natakiwa niwe na nveti nva form four na six,na natakiwa nilipie shs 20000 au 32000kwa express.Nimeshaomba mara50 , na kote huko sijapata kazi.

My in take ni kwamba naomba wazir au mbunge yeyote mwenye uwezo na swala hili anisaidie, ili nipewe certification ya kunisaidia kutoka baraza, kwan nateseka sn na natumia pesa nyingi sn mpaka nimekata tamaa. Pia naliomba baraza linisaidie kwn mm sikupoteza vyeti hinvo makusudi. Baraza lifanye uchunguz kwn shule tulizosoma na lijue ukweli kwamba mm ndo mwenye cheti na linisaidie.

Kwamba una degree ya pili? Sawa hata hivyo kuanzia leo tambua kwamba NECTA hawatoi vyeti mara mbili. Ina maana kwamba ukipoteza cheti au vyeti vya NECTA hakuna njia zaidi ya utaratibu huo unaokumbana nao sasa labda kama itatokea wakabadilisha sheria zao. Pole sana mkuu.
 
Ajira sio hajira. Hiyo mba umeipatia chuo gani? Pole sana ushauri wangu kamwone waziri shukuru ana jenifa mhagama haraka sana kabla bunge halijarudi.

sasa hii ndio nini tena? unajifanya kumrekebisha mtu nawe unachapia!!!
 
Dah kama wenye Masters ndio wanaandika hivi baaaasi Tanzania Elimu yetu duni sana.
 
Dah kama wenye Masters ndio wanaandika hivi baaaasi Tanzania Elimu yetu duni sana.

Bora huyo ana Masters, kuna wengine wana Ph.D lakini wakiongea 'utafurahi' mwenyewe. Binafsi naona jamaa kajitahidi sana ukizingatia mfumo wetu wa elimu wa sasa pamoja na kuchanganyikiwa kwa kupoteza vyeti.
 
Back
Top Bottom