Nimepokea ujumbe huu leo

Dah ukiwa na tamaa mara moja wanakuliza hawa jamaa' lakini je hawa jamaa wanashirikiana na makampuni ya simu? Kwa sababu msg wameonitumia leo haina namba ila imeandikwa MOI sijaelewa ni kampuni au nini?

Hawa jamaa huwa wananunua package ya contact za wateja wa simu kutoka kwa wanafanyakazi wa kampuni ya simu, benki ambao sio waaminifu kwa kuwalipa pesa kidogo tu.
Matapeli Wakituma ujumbe kama huo kwa wateja laki moja, hawawezi kukosa kati ya hao ambao wanataka utajiri wa haraka na kutoa details zao zaidi au kutoa pesa.
 
Sikiliza nafsi yako inakwambia nini. Maana naona kama unamzuka wa kushiri ili utapeliwe.

Mkuu mzuka sina kabisa alhamdlh matatizo ninayo ila sio sana kikubwa nataka kuona watu hapa jamvini wanauelewa gani juu ya hili?
 
Aiseee babaangu kama unataka kulia mchana watafute uone utakavyomwanga machozi

ngoja si 2endelee na mbege hapa
 
Hawa jamaa huwa wananunua package ya contact za wateja wa simu kutoka kwa wanafanyakazi wa kampuni ya simu, benki ambao sio waaminifu kwa kuwalipa pesa kidogo tu.
Matapeli Wakituma ujumbe kama huo kwa wateja laki moja, hawawezi kukosa kati ya hao ambao wanataka utajiri wa haraka na kutoa details zao zaidi au kutoa pesa.

Hapo naweza kubaliana na wewe mkuu maana sijawahi kuona ujumbe kama huo kwenye simu ya bibi yangu naishi nae'na mimi ndio msomaji wa sms zake,ila kwangu ni kawaida kabisa kutumiwa hizo
 
Hapo naweza kubaliana na wewe mkuu maana sijawahi kuona ujumbe kama huo kwenye simu ya bibi yangu naishi nae'na mimi ndio msomaji wa sms zake,ila kwangu ni kawaida kabisa kutumiwa hizo

Kumbuka katika maisha nothing comes for free. This is principle, It's too good to be true.
 
Ukitaka kujua ni matapeli wambie wakupigie waku-tell utapataje huo mkwanja? Kw taarifa yako hap airtime ya kukupigia hawana ndo maan wameku-text na wanataka wewe ndo uwapigie wakumalizie voucher zako za mawazo.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom