jamani ni kumwelekeza tu na siyo kumwita boya .We boya kumbe?kwani mtu akitoka nje?sianachaguwa mtandao anao utaka?au umenielewa vp?miss?
Kwanza, wewe husemi kweli.
Unalea hadithi za kufikirika. Kama u mkweli tuwekee hiyo namba ya kiajabu.
Mariam ni mama yake Yesu (AS), Jee, kuna Mkristo anaeamini kuwa Jina la Mama yake Mungu likampigia mtu simu za kiajabu?
Tafadhali sana, kuwa mkweli. Usicheze na majina haya makubwa.
Hapo ndiyo dada yangu anaponiacha hoi,hii hoja anataka iwe ya dini!Anataka uwe mjadala wa kidini!
Nakuambia watu kama huyu mimi nawaelewa na nimesema hayo si kwa kukisia. Kuna kitu kalenga kwa hilo jina la "Mariamu". Huwa sikisii.
Hee ushakuwa mwanasaikolojia?Even then wewe ni mdini na huo udini wako haujifichi unajionesha kila wakati,ndio maana umeniwekea maneno ambayo sikusema na ‘umeconnote‘ maana ambayo sikuikusudia.
Sasa mimi nime "connote" wewe umenini? wakati unafahamishwa hapa kuwa hiyo ni "simply" wrong number?
Mimi kama unamaanisha Uislaam ndio udini, basi mimi ni namba moja. Wewe, Jee, Mpagani?
Ooopsss, by the way, sio nimeshakuwa, mimi ni mwanasaikolojia kwa kusoma si kwa "nimeshakuwa". Indeed, I am a psychologist.
wabongo wengi ni vilaza na iq ndogo sana..hiyo ni simu ya kaaida tu sas nashangaa wengine wakisema kuwa ni mapepo akili ndogo hizo .
Hli jamaa lmefuzu uongo,private number huwa haioneshi jna,ye ameweza vp kuipga.kua bac mwanangu.