Nimepigwa Tongozo

Hahahahahahahaha, idadi ya wanaume inazidi kupungua, kama wengi wameamua kuwa wadada sijui wanawake watasitiriwa na nani
 
Modes wafatilie hichi kisa kinaifanya JF idharaulike, kwanza ningekuwa mimi ndio nimetongozwa ningebadili na ID kabisa kwa vile tayari nimeshatiwa nuksi nahitaji kuoga na maji ya baraka na kufunga kwa novena ya siku 9 bila kuzungumza na mtu yeyote, yaani ni kusali na kuimba tu kwa Mungu anisafishe na hiyo nuksi

we mbona jina lako linabadilikabadilika kama kinyonga? Angalia kwa umakini mara nguli mara nguli jabali..mods ndo ninh hii?
 
Back
Top Bottom