Nimepigwa Tongozo

ANGALIA BABA USIJE UKAINGILIWA,,, MJINI HAPA , WAWEZA KUWA UNAZUGWA :clap2:
 
Kuna jamaa punga humu JF amekuwa akinisumbua sana kuwa anataka nimhemee, anasema amenifia ile kiroho mbaya kwa kuwa nina jina la kiporipori. Ameniambia atanifundisha namna ya kumuingilia kinyume , na nitaenjoy kuliko ninavyopata raha kwa mwanamke wangu.
My take, ndugu, sipendi kukutaja kwa jina, nimeandika hapa ili ujue kuwa ninakerwa na uchafu wako.
Pia wana JF naomba kwa nguvu zote tuukemee ujinga huu

Mwage jina lake jamvini bwana!!!!, Waogopa nini??????
 
umesema tumkemee,mimi naanza ashindwe na alegee ktk jina la yesu,huyo pepo mbaya na amtoke! tokaa kwa jina la yesu! tokaa! tokaa!kwa jina la yesu amen,kuwa na amani ndugu hatarudia tena
 
dah kiongozi pole sana, i can feel the embarrasment, mkuu inawezekana huyo mwanaJF anacheza na IQ yako na kutaka kujua uwezo wako wa kuchukulia mambo simpo au serious na ww ni mchafu kiasi gani na pia inawezekana sio mwanadada huyo ni dume..hakuna mwanamke anaejiheshimu anaweza kuzungumza uchafu kama huu..THANKS for alert.
 
Hapana asifanye hivyo namshauri amsitiri lakin ampe very strong warning, na pia asifanye hivyo kwa mtu mwingine yeyote yule sio kwa WanaJF tuu...tabia chafu sana na kitendo cha kuvunjiana heshima na kudhalilishana. NOT ACCEPTABLE FOR GREAT THINKERS

Mwage jina lake jamvini bwana!!!!, Waogopa nini??????
 
Hapana asifanye hivyo namshauri amsitiri lakin ampe very strong warning, na pia asifanye hivyo kwa mtu mwingine yeyote yule sio kwa WanaJF tuu...tabia chafu sana na kitendo cha kuvunjiana heshima na kudhalilishana. NOT ACCEPTABLE FOR GREAT THINKERS
Amtaje tu. Kuna memba mwingine nae alishasemaga kuna c.hoko humu jamvini, ni vema akajulikana. Ishakua kero.
 
Back
Top Bottom