Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimepigwa Ban kwa kushangilia kipigo cha Man U.....

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Kibunango, Oct 24, 2011.

 1. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2011
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,558
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Imetokea kwenye sebule ya mtaani kwangu! Sasa natafuta sebule mpya ya kutaza PL wakati huu ambao natumikia ban ya mwezi mmoja!
   
 2. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ukome!! tumia ile ID yako ya 6
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 31,259
  Likes Received: 5,824
  Trophy Points: 280
  Ulipotelea wapi kib?
   
 4. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,235
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Mkuu inabidi usome mazingira nakumbuka kipindi England anafungwa na Brazil (Baada ya Ronaldinho, kumuaibisha David Seaman) nilikuwa nimezungukwa na washabiki wote wa England, kipindi hicho mechi zilikuwa asubuhi.., ilibidi nijikaze kushangilia na niende chooni kidogo ili nikashangilie huko na kurudi na kukaa kimya game ilivyokwisha nikaenda kutafuta washikaji ili kushangilia vizuri...

  Vilevile ukiwa jukwaa la yanga huwezi kushabikia simba unless kama wanakuogopa au unataka kipigo..., kusoma mazingira ni muhimu sana unless unataka kupata kipigo siku moja...

  By the Way..., ile aikuwa kufungwa bali inaitwa slashing..!!!; kipigo cha paka mwizi..!!! Rampaging..!!
   
 5. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #5
  Oct 25, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 27,257
  Likes Received: 1,954
  Trophy Points: 280
  mnapenda kuingia mwili mzima mzima
  pumzika salama.
   
 6. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #6
  Oct 25, 2011
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,558
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Kwa taarifa yako.. ninajiamini sana... hivyo sina haja ya kuwa na ID kibao ka chawa wa kichwani...Anyway ban hiyo haipo online..
   
 7. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #7
  Oct 25, 2011
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,558
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Mkuu nipo... utanipata kwenye sports zaidi... :)
   
 8. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #8
  Oct 25, 2011
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,558
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Au cha mbwa koko...
   
 9. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #9
  Oct 25, 2011
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,558
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Kwa ufupi bila longolongo... we si mshabiki wa football...
   
 10. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #10
  Oct 25, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,796
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  ................
  dala.jpg
   
 11. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #11
  Oct 25, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,718
  Likes Received: 396
  Trophy Points: 180
  Bora aisee, wenzio tulilia hata kula tulishindwa we unachekelea. Binadamu kweli hatupendani.
   
 12. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #12
  Oct 25, 2011
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,558
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Kuna hii habari imeanza kusambazwa kwenye maduka inaitwa Six and the City... ipo kwenye blu - ray!
   
 13. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #13
  Oct 26, 2011
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,558
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  man u.jpg
  Inapatikana kwenye Blu-ray
   
Loading...