Nimepewa namba ya simu na Demu

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Wana Jf kuna jirani yangu hapa
Mtaa wa maweni ni bomba sana,
midume karibu yote ina mmezea mate,na ni msomi ametoka chuo karibuni,
Asubuhi leo wakati naenda grocery nikakutana nae akanisalimia halafu
akaniambia chukua namba yangu, mpaka sasa hivi nina maswali kibao
Siamini kupewa namba na ninaomba
ushauri wenu hivi kupewa namba ya simu ni ishara ya nini?
 
Kaka,

Mwanamke akikupa namba ya simu sio kwamba anakutaka, na wala usitengeneze mawazo hayo kichwani
Mheshimu kama dada yako tu, unless akueleze anakutaka.
Lakin ujue kuwa unaweza ukawa na uhusiano na mwanamke bila ngono wala mapenzi

Sawa Mkuu?
 
Boflo wewe ni mwanamke bwana,hizi thread za hivi unatuwekea kutupotosha malengo tu tusikujue,...tushakustukia.
 
acha mawazo ya kijinga wewe..nyie ndiye mnaodhani kuwa demu akikuchekea tu basi anakutaka!
 
Kwajinsi hii sredi ivokaa, nakuunga mkono kabisa!!!!:lol: Au anataka ms**ane!!!
 
Kaka,

Mwanamke akikupa namba ya simu sio kwamba anakutaka, na wala usitengeneze mawazo hayo kichwani
Mheshimu kama dada yako tu, unless akueleze anakutaka.
Lakin ujue kuwa unaweza ukawa na uhusiano na mwanamke bila ngono wala mapenzi

Sawa Mkuu?
swadakta umemaliza kila kitu
 
Boflo?
Huyo aliye kupa number ni kichaa! huwezi kukutana na m2 tu akakuambia chukua Number!!
Pili kama umemuomba No. lazima kuna sababu ulimpa au kuna gear ulitunia kuipata hiyo Number. hebu tuambie kwanza ilikuaje mpka akakupa hiyo Number ndio tutoe majibu yetu. Vinginevyo tutakua tunajadili pumba
 
Boflo,matusi ya nini bro?Sikujui Boflo,wala huyo demu simjui,sasa niwe na jealous ili iweje?
Sijakwambia kuwa umechekewa,isipokuwa ukishakuwa na mawazo kama haya eti demu kanipa namba then should be something more,basi hutachelewa kuwaza the same unapokutana na demu anayekuchangamkia kama kaka au jirani au co worker.
Jifunze ku relate bro!
 
acha mawazo ya kijinga wewe..nyie ndiye mnaodhani kuwa demu akikuchekea tu basi anakutaka!

NgumiJiwe lugha uliyotumia ilikuwa ya kumkandia mwenzio badala ya kumshauri, ina maudhi fulani. Pengine ungetumia lugha kama yangu angekuelewa.
 
hahaaaaaaaaa kazi kwako man
Wana Jf kuna jirani yangu hapa
Mtaa wa maweni ni bomba sana,
midume karibu yote ina mmezea mate,na ni msomi ametoka chuo karibuni,
Asubuhi leo wakati naenda grocery nikakutana nae akanisalimia halafu
akaniambia chukua namba yangu, mpaka sasa hivi nina maswali kibao
Siamini kupewa namba na ninaomba
ushauri wenu hivi kupewa namba ya simu ni ishara ya nini?
 
Sijasema nimechekewa nimesema nimepewa acha kuwa JEALOUS
Kenge wewe!!!!

Bolfo Mkuu punguza hasira, msamehe mwenzio.

Jamani naomba tuwe wastaarabu jamani, hata kama unamjibu mtu jaribu ku-revise unavyomjibu mwenzako ili asikwazike. Pia Tuwe tunavumiliana hata mtu akikujibu vibaya mwambie awe anatumia lugha nzuri au vipi mpotezee.
Tuwe na amani jamani
 
Boflo?
Huyo aliye kupa number ni kichaa! huwezi kukutana na m2 tu akakuambia chukua Number!!
Pili kama umemuomba No. lazima kuna sababu ulimpa au kuna gear ulitunia kuipata hiyo Number. hebu tuambie kwanza ilikuaje mpka akakupa hiyo Number ndio tutoe majibu yetu. Vinginevyo tutakua tunajadili pumba
Ok... Huyu demu ni jiran..na haya maeneo ninayokaa ni upanga huku majirani hawasalimiani.... Sasa huyu demu alikuwa chuo miaka 3 toka amerudi ana kama mwezi 1... Ndio maana
nikashangaa kusalimiwa na kupewa namba
 
Bolfo Mkuu punguza hasira, msamehe mwenzio.

Jamani naomba tuwe wastaarabu jamani, hata kama unamjibu mtu jaribu ku-revise unavyomjibu mwenzako ili asikwazike. Pia Tuwe tunavumiliana hata mtu akikujibu vibaya mwambie awe anatumia lugha nzuri au vipi mpotezee.
Tuwe na amani jamani
Nimekupata mkuu
 
Back
Top Bottom