Gamaha JF-Expert Member Jul 17, 2008 3,815 4,861 Aug 30, 2012 #2 Aaai zomba kibajaji chote kimezibwa lol
Kaunga JF-Expert Member Nov 28, 2010 12,530 13,467 Aug 30, 2012 #3 Me too, and I am sure Boflo will love it akikiona, what do you think Bishanga and Asprin Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Sep 3, 2010 7,637 4,521 Aug 30, 2012 #4 Haya baba nami nimekipenda..
Asprin JF-Expert Member Mar 8, 2008 68,012 95,358 Aug 30, 2012 #5 Kaunga said: Me too, and I am sure Boflo will love it akikiona, what do you think Bishanga and Asprin Click to expand... Hivi Kaunga, tuna nini mimi na wewe? We wajua vema kuwa muda wangu bado haujafika...... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kaunga said: Me too, and I am sure Boflo will love it akikiona, what do you think Bishanga and Asprin Click to expand... Hivi Kaunga, tuna nini mimi na wewe? We wajua vema kuwa muda wangu bado haujafika......
Kaunga JF-Expert Member Nov 28, 2010 12,530 13,467 Aug 30, 2012 #7 Asprin said: Hivi Kaunga, tuna nini mimi na wewe? We wajua vema kuwa muda wangu bado haujafika...... Click to expand... Haya kaka, ngoja nisikuingize majaribuni!
Asprin said: Hivi Kaunga, tuna nini mimi na wewe? We wajua vema kuwa muda wangu bado haujafika...... Click to expand... Haya kaka, ngoja nisikuingize majaribuni!
M maswitule JF-Expert Member Nov 5, 2010 1,392 476 Aug 30, 2012 #9 sijakipenda japo kinafanana na vile vya hapa kwetu vile
Henge JF-Expert Member May 14, 2009 6,933 1,510 Aug 30, 2012 #10 Ustadhi zomba hiyo bajaji nzuri hope ndo yakubebea wajawazito! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
zomba JF-Expert Member Nov 27, 2007 17,240 3,910 Aug 30, 2012 Thread starter #11 Henge said: Ustadhi zomba hiyo bajaji nzuri hope ndo yakubebea wajawazito! Click to expand... Hiyo yakupanda wajawazima.
Henge said: Ustadhi zomba hiyo bajaji nzuri hope ndo yakubebea wajawazito! Click to expand... Hiyo yakupanda wajawazima.
Mchaka Mchaka JF-Expert Member Jul 20, 2010 4,516 1,404 Aug 30, 2012 #13 Geuza basi hiko kibajaji tuone upande mwingine pia!
majonzi Senior Member Sep 25, 2007 176 22 Aug 30, 2012 #14 Kina vutia sana kibajaji nahisi akili mafuta sana
Asprin JF-Expert Member Mar 8, 2008 68,012 95,358 Aug 30, 2012 #15 Kaunga said: Haya kaka, ngoja nisikuingize majaribuni! Click to expand... Naam, najua huwezi "kuniingiza" bali waweza kuniepusha na yule mwovu.
Kaunga said: Haya kaka, ngoja nisikuingize majaribuni! Click to expand... Naam, najua huwezi "kuniingiza" bali waweza kuniepusha na yule mwovu.
Watu8 Platinum Member Feb 19, 2010 70,957 93,937 Aug 30, 2012 #16 unazungumzia bajaj ipi maana naziona mbili nyeupe na nyeusi
Caroline Danzi JF-Expert Member Dec 19, 2008 3,713 1,263 Aug 30, 2012 #17 Ni bajaji au aliyesimama mbele pembeni ya bajaji?
Davie S.M JF-Expert Member Jan 6, 2011 748 228 Aug 30, 2012 #18 Hii inakuja lini Bongo..I can't wait.. Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Boflo JF-Expert Member Jan 20, 2010 4,384 4,409 Aug 30, 2012 #19 Kaunga said: Me too, and I am sure Boflo will love it akikiona, what do you think Bishanga and Asprin Click to expand... Swadakta Kaunga..... Ninapata mashaka na zomba.......Simba mwenda kimya ndiye mla nyama Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kaunga said: Me too, and I am sure Boflo will love it akikiona, what do you think Bishanga and Asprin Click to expand... Swadakta Kaunga..... Ninapata mashaka na zomba.......Simba mwenda kimya ndiye mla nyama
kapistrano JF-Expert Member Apr 2, 2012 1,244 453 Aug 30, 2012 #20 watu8 said: unazungumzia bajaj ipi maana naziona mbili nyeupe na nyeusi Click to expand... coz you have 2 eyes!
watu8 said: unazungumzia bajaj ipi maana naziona mbili nyeupe na nyeusi Click to expand... coz you have 2 eyes!