Nimependa design ya hii youtube

ebu tzama hii YouTube - NTVKenya's Channel
kisha linganisha na za kawaida
hii ni nzuri jamaa wanafanyaje au youtube pia unaweza kudisgne mwenyewe.

Ukiwa na channel yako youtube unaweza kufanya cstomisation ya ya profile yake.

Mfano TBC au ITV wangekuwa wakoserius wangekuwa na channl zao amabzo wangekuwa wanaweka taarifa na clip muhimu. . hata kama zisingekuwa na customised profile kama hii but ndio maana halisi ya chombo cha habari cha televison.

tembelea hapa upate mwanga zaidi na wewe unaweza kufanya hivyo hivyo http://www.google.com/support/youtube/bin/answer.py?hl=en&answer=94526
 
Back
Top Bottom