Nimepata sababu ya kutoacha Pombe...

Changanua muungwana sisi wengine ni slow learners!

Nilivyosema wanywaji ndio haramu nilimaanisha kuwa kuna baadhi ya watu wanakunywa kwa kuiga,kwa sifa na wengine kuibukia hawa ndio tatizo sugu kwaa alcholic community. wanawapa taabu mtu anapiga bia 1 anavua nguo hadharani kama ni mdada 1 tu anaanza ku..... gea.
 
nukuu ya kunukulika:
"...19The Son of Man came eating and drinking, and they say, 'Here is a glutton and a drunkard, a friend of tax collectors and sinners....."


kumbe pombe siyo dhambi.



 
The choice is yours!and yours only! Kila mtu atalichukua furushi lake mwenyewe mbele za haki siku hiyo inakuja!!!
 
Binadam ni wale wale tangu alivyoumbwa na Mungu. Kama ni harusi toka enzi kable ya kristu kilauri ndio kiliwekwa mezani.Watu walikunywa na hata wengine walilewa pia. Na hata siku moja Yesu akiwa harusini kilauiri kilikata watu wakasikia kiu kweli kweli hadi wakamwomba Mama ayake Yesu awasaide . Maji yalikuwepo lakini hayakuweza kukata kiu tena hawakuhitaji maji.

Basi Bwana Yesu aliamuru yale maji yawe kilauri na mara ikawa bonge la mvinyo. Bora kuliko yoyote iliyokuwepo siku hiyo. Na tazama watu walikunywa mpaka basi. MIMI SIACHI KUNYWA POMBE MAANA MM NI MFUASI WA KRISTU. Mbona tunamsifia kwa miujiza mingine lakini huu tunaukwepa? Wala hawathubutu kusema kuwa Yesu alibadili maji yakawa mvinyo harusini.
 
Nipo kwenye winter huku wenzangu wote wanalala na wanawake kwa sababu ya baridi
Lakini mm nalala na chupa za bia mwanzo mwisho mpaka kuna kucha sihitaji mwanamke.
 
Nipo kwenye winter huku wenzangu wote wanalala na wanawake kwa sababu ya baridi
Lakini mm nalala na chupa za bia mwanzo mwisho mpaka kuna kucha sihitaji mwanamke.

ningeshangaa sana kama usinge comment chochote kwenye hii useful thread
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom