Nimepata msiba wa Mama yangu mzazi

Inna lillahi wa inna ilayhi raji’un
Surely we belong to Allah and to Him shall we return'.
Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu na Kwake Tutarejea

May Allah forgive your Mother... and accept her good deeds... May Allah give your family comfort and patience and hope with which to continue. I’m sorry to hear the news.
 
Pole sana ndugu yangu Mungu AKUPE ROHO YA UVUMILIVU
najua uchungu wa kufiwa na mama MUNGU AKUPE REHEMA ZAKE NDUG YANGU
NAKUTAKIA SAFARI NJEMA KAKA ..MALAIKA WA BWANA WAKAKUTANGULIE MPAKA UTAKAPOFIKA NYUMBANI MOSHI
 
Wana jfs nimefiwa na mama yangu mzazi leo kcmc bado nipo dar nataraji kuondoka kesho kuelekea moshi naomben sala zenu ktk kipindi hiki kigumu
My number 0719354556
pole sana tete, nani kama mama?nakuombea safiri salama na mambo yote yaishe salama.pole tena:(
 
Wana jfs nimefiwa na mama yangu mzazi leo kcmc bado nipo dar nataraji kuondoka kesho kuelekea moshi naomben sala zenu ktk kipindi hiki kigumu
My number 0719354556

Pole sana kwa msiba mkubwa uliokufika. Mwenyezi Mungu awape nguvu na faraja katika kipindi hiki kigumu kwenu na ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi~AMEN. Nakutakia safari njema kuelekea msibani. Pole sana.
 
Pole sana!! Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki cha majonzi mazito.
 
Wana jfs nimefiwa na mama yangu mzazi leo kcmc bado nipo dar nataraji kuondoka kesho kuelekea moshi naomben sala zenu ktk kipindi hiki kigumu
My number 0719354556
Pole sana ndugu yangu, matatizo wameumbiwa watu na ni lazima yawakute watu. Pole sana kwa kumpoteza mama yetu kipenzi.
Nina imani kwamba mungu ana upendo nawe ndio maana amekupa busara katikati ya matatizo kukumbuka na kuuona umuhimu wa kuwataarifu nduguzo JF, busara iliyoje !! Kwa upendo ulionao naamini mambo ya msiba yatakwenda salama na Muumba akutangulie kwa kila jambo.....Amin.
 
Pole sana best, sio siri msiba wa mama unauma sana ila kubwa ni kujipa moyo na kuwafariji wengine. Mwamuzi ni Mungu kwani anamchukua ampendaye na anamwacha amtakaye. Tunaelewa kuwa kama sisi ulimpenda mama sana ila Mungu kampenda zaidi. Nakutakia Moyo mkuu ambao ni wa milele katika kipindi hiki kigumu.May the soul of the departed our beloved Mom Rest In Peace. Amen!
 
Pole sana mkuu kwa msiba huo mkubwa. Mungu awape nguvu katika hiki kipindi kigumu.
 
Ile lol ulioweka kule sisi ndio tukuulize, mwenzetu kafiwa wewe unamcheka.

lol = laughing out loud
asante sana mwalimu,nilitaka kuweka loh ya kusikitika,ikapitiliza,hata hivyo nadhani ulinielewa sikumaanisha kumcheka,asante tena kwa kunijulisha ukanumba wangu.
 
Mkuu pole saana Mungu awape Nguvu katika hiki kipindi kigumu, inauma saana mtu unapondokewa na mzazi, Jina la bwaba lihimidiwe
 
Mungu akutie nguvu na kukupa neema ya kufanikisha yote unayohitaji ili kufanikisha mazishi ya mpendwa wake.
 
Back
Top Bottom