Nimepata mfadhili wa kunilipia masters naomba ushauri

Mopalmo

JF-Expert Member
Nov 11, 2010
533
138
Wana jf nimepata mfadhili wa kunilipia masters degree,mi nimemaliza advance diploma in accountancy pale TIA,ningependa kusome MBA ya finance,accounts au marketing,naomba ushauri ni chuo gan ambacho naweza kujiunga kwa mwaka huu najua nimechelewa ila ndio mfadhili nimempata,naomba ikiwezekana mnijulishe na ada husika.
 
Back
Top Bottom