Nimepata Hawara

Chelian hebu ni PM fasta mi nimetulia na nipo single boy.

Sasa mbona unasema kwa sauti hadi watu wote wanasikia
unadhani ni mimi tu na kavu kuti tunaotaka hawara?
we nitakupm kimya kimya, walafi wakijua km uko singleboy watanipora...
 
kwani humu nako mtu anaweza pata hawara eee?? lol, jamani hawara na kimada vina tofauti gani?
 
kwani humu nako mtu anaweza pata hawara eee?? lol, jamani hawara na kimada vina tofauti gani?
ô
Advanced oxford dikshenare:
Hawara: mwanamke/ mwanaume ambaye mnakulana kimagirini nje ya ndoa,unapiga/unapigwa unarudi nyumbani kimya kimya.
Kimada: nyumba ndogo,anajengewa/analipiwa kodi,anakupikia,anakufulia,anakuzalia,it is a highest form of uhawara.Kwa mfano Lizzy ni kimada wangu wakati Kongosho ni hawara wangu tu,umeelewa?
 
Last edited by a moderator:

nilijua tu usipokatiza kwenye hii topic basi jf itafungwa
 
Last edited by a moderator:
wewe kavu kuti unaweza kumtaja hapa huyo hawara?nikuonye tu...kama ni Kongosho ujue huyo ni mwanamke mwenzako!kaa mkao wa kukobolewa!teh!teh!teh!
 
Back
Top Bottom