Nimepata habari usiku huu saa 3 ya kwamba Salum Kabunda "Ninja" hatinaye tena...........

omukama akwebembele ninja, r i p ninja, yanga daima mbele nyuma mwiko, tutakukumbuka daima wana jangwani na taifa staz
 
RIP mwanasoka wetu, poleni wanafamilia wanaYanga na mashabiki wa soka kwa ujumla.
 
R.I.P NINJA MSUDAN! kuna mechi alishawahi cheza amevaa raba ya DH, nilimkubali sana akisimama na Godwin Aswile au late Method Mogella "fund" kulia kuna Selemani Mkati kushoto Keneth Mkapa hapo Malota Soma hakatizi...
 
Inna li Llahi wa Inna ILlahi Rajiun

kama umekusudia tukuelewe, tuweke kwa lugha ya kiswahili au kidhungu, nadhani hii uliyoandika inafundishwa kibaguzi, wajitoao muhanga wameitumia kujilipua! r.i.p salum kabunda.
 
Kwani ni nani huyu? Na ana maslahi gani kwa taifa hadi iwe mhimu kujua habari za kifo chake? Kama ni rafiki yako, sema tu kwamba umefiwa ili tukupe pole

Under 15 huyu hawezi mjua Salumu Kabunda "Ninja". Huyu muulize kina Messi, Cristiano Ronaldo, Lil Wyne etc
 
Kwani ni nani huyu? Na ana maslahi gani kwa taifa hadi iwe mhimu kujua habari za kifo chake? Kama ni rafiki yako, sema tu kwamba umefiwa ili tukupe pole

Wacha hizo Lukolo yaonesha bado uko dogo sana wewe! Tutaendelea kumkumbuka Salum Kabunda kuwa alikuwa mchezaji wa kandanda hodari katika Timu alizowahi kuchezea ikiwamo Yanga Africans ya Dar na Taifa Stars enzi hizo. Mwenyezi Mungu ampumzishe ahera kwa amani na kuwapa uvumilivu na subira jamaa na ndugu wanaoguswa na msiba huu.
 
Kabunda nilikutana naye juzi juzi kwenye jengo la JM Mall akiwa mwenye afya njema kabisa. Tena nilimkumbusha mechi fulani ya Simba na Yanga ambapo alivishwa kanzu na Ball Juggler Malota Soma halafu akaivua kwa mkono. Alicheka sana! Imekuaje tena? Au ni ajali?
 
Msiba upo jijini mwanza mtaa wa nera,na sala ya kumsalia maiti itafanyika saa 10 leo jioni ktk msikiti wa makongoro uliopo makongoro road,shime wapenzi wote wa michezo na ndugu jamaa na marafiki tuhudhurie ktk mazishi na shujaa wetu SALUM KABUNDA NINJA, INNALILAHI WAINNAILAYHI RAAJIUUN.
 
Back
Top Bottom