Nimeonja pendo lako

huu wimbo huwa sichoki kuusikiliza... B.Mukasa katika tungo alinikamata kweli
 
Nimeonja pendo lako nimejua u mwema
Nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe
Nitawaongoza vema waimbe kwa furaha
Nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe.

Ukarimu wako (Bwana), na huruma yako (wewe), msamaha wako (Bwana), na upole wako (wewe) umenitendea wema usiopimika
Nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe.

Watawa warukeruke waimbe kwa furaha
 
Daaah. Kesho inabidi nikashiriki liturjia mkuu, maana nimesahau hata ni dominika ya ngapi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom