Nimeonja pendo lako

Twende tukapewe sayansi ambayo wa-Japan hawana Kaizer.....usitake ushindani na manabii utaja toweka mbele yangu!

Michelle manabii si wapo wa uongo pia? Isije tukawa kama wana wa Israeli tukaomba tuchongewe kandama ketu ka dhahabu...bora tumsubiri Musa tu.

So tunaenda wapi zaidi ya kwa kakobe lol
 
Mi ndo hapo nilitaka twende,kama hutaki basi chagua wewe...nimesusa na kununa!
 
kwa Mujibu wa The Boss...this aint healthy....na mi najua itakuwa kuna tatizo jengine kubwa zaidi Michelle...usinune...au unapenda kesho na keshokutwa waje wabebe vistuli vyetu na katv ka inch 14, let alone hereni ulizovaa? LOL

twende St peters..apo vipi?
 
Kwahiyo The Boss ndo anafanya maamuzi ya mi na wewe tukasali wapi?? haya basi,asije akaja leta makubwa mengine.....!

Sawa,tutaenda St Peters,wajua siwezi kataa!
 
No Michelle, No....its just a coincidence....si umeona ile sredi yake kule MMU...anazungumzia kususa na kununa lol
 
Nimeiona ile sredi,usinikumbushie tena...watu tunapokea vinono tukikosewa tukanuna na kususa...yeye anasema hapendi...:washing:
 
tehe tehe tehe...kumbe ndo gia ya "kuniingia" iyo ili vinono viwepo lol....ulishawahi kwenda lakini St Peters au ndo itakuwa mara ya kwanza?
 
Ndo mara ya kwanza na nina furaha nakwenda nawe...nimebadili gia kwako...lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom