Nimeonewa Sana,Nimesikitika sana , Nimeamua kujiuzulu Maisha ni Ufisadi sio Uongozi

Duduwasha

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
5,703
3,653
281480_158589320883842_100001983266527_311278_2775826_n.jpg

Baada ya kutafakari na kuingia stoo yake na kukuta na akiba ya kutosha akaamua kujiuzulu
 
Mbona kidogo sana hizo, si za Zimbabwe? mshahara wa mwezi mmoja tu huo!
Zimbabwe sikuhizi hawatumii pesa zao hapo mwake mwake ni USD$ POUND
stoo imejaa hivi hata NSSF Siendi kuchukua mafao kula tu kusubiri kufa..

Shawarma kila siku
 
Tatizo wenzio wanaona unatania awaamini thread yako siunajua tena wakina tomaso sio kosa letu,yani siunaelea mpaka kufanya utafiti kidogo,ni ngumu lakini ndio hivyo zinaenda zinapungua siunajua tena kona hii na ile watu wakiendelea kuchota zinapungua pungua polepole,ukija kushtuka Mzee wa vijenti hakukosea kuwa ni vijesenti.Wengi wanafillia wakina bakhresa ndio mabilionea wenye hela nyingi kumbe wapo madon wenyewe,ukiaambiwa hawawezi kuamini masikio yao.
 
Back
Top Bottom