Nimeoneshwa demu wa JF

Katika purukushani zangu za hapa na pale kuna memba mmoja wa JF wa zamani (jina kapuni) akanionesha demu wa JF. Kuingia JF na kuona avatar yake wache niumie mbavu kwa kucheka, ni vitu viwili tofauti, duhh japo kungekuwa kuna kamfanano kadogo nimgemsifu.

Nawaomba mijimama na mijibaba ya JF msizuge na kuwatia watu tamaa kwa avatar ambazo hamfanani nazo hata chembe.

Alokwambia JF wanataka sura nzuri na maumbo mazuri nani?
Hapa sio facebook.
Avatar ni avatar tu. Na haimaanishi kama una sura nzuri uweke picha nzuri.
Au kama una sura mbaya, uweke hapa.
HAPA TUNAHITAJI MCHANGO WAKO WA KIMAWAZO.
 
Mie nimetamanishwa na wengi hasa wanaojipiga ushungi na weweseka kweli halafu kumbe ndivyo sivyo duh
 
Hata hujui ni nani unae muongelea..
Mwanaume mzima utavuliwa suruali usutwe..

Kama unajiamini kweli si uweke mambo
Hadharani ..weka hiyo picha sema ni ya nani .

Otherwise we ni mmbea wa kutupiliwa mbali ..
Na aibu huna ..
Dah..afrodenzi,
Taratibu mamaa!
 
nyooo...wewe na huyo JF member wa zamani kafieni mbele huko,huku wanaume wamekaa kiume na wanafanya kazi za kiume,sio kukaa vibarazani na kuanza kupiga umbea!!

Wewe kwanza unajulikana sio mwanamke, usijidai hapa. Kesi umemaliza?
 
dogo unatagombania bwana na dadako????siyo kesi kama unataka kunitunuku ua mzuka tu!!!!niPM sitotangazia!

Kwa hiyo avatar yako, niko tayari kabisa kukupeleka dina. Tena ni ugomvi kabisa na dadangu. Vipi upo tayari nikupeleke dina kijana?
 
Dah..afrodenzi,
Taratibu mamaa!
Mambo Mkuu?
Hawa watoto waliofeli fomu foo wanakera sana, utafikiri wamepigwa BAN fesibuku ndio wanakimbilia huku.
Ikiwa mtoto kaanza na utumbo kama huu unafikiri atakuja kuwa vipi Great Thinker na kiongozi (wa sasa au wa kesho)?
Bora hawa wangewekewa JUKWAA lao LA WATOTO
 
kusema kweli bishanga kifaa ambacho niliopoa jf 99 percent kinashabihiana na mrembo mwenyewe!
.........should i say anything more?
 
Mambo Mkuu?
Hawa watoto waliofeli fomu foo wanakera sana, utafikiri wamepigwa BAN fesibuku ndio wanakimbilia huku.
Ikiwa mtoto kaanza na utumbo kama huu unafikiri atakuja kuwa vipi Great Thinker na kiongozi (wa sasa au wa kesho)?
Bora hawa wangewekewa JUKWAA lao LA WATOTO

Hakuna cha u great thinker wala kiongozi. great thinker atakaa jF apayuke? hapa mijitu mingi ni mijizi ya muda wa kazi ndio unaiona hapa. Greaat thinker ataweka avatar ya mcheza sinema wa hollywood halafu anajiona ndio kisha kuwa yeye huyo?
 
humu kuna usalama kweli wandugu

Usalama utoke wapi na kuna watu washaanza kung'aka nyuzi imewaingia, wakiisoma wanajitazama halafu wanatazama avatar zao halafu wanaanza kunishambulia/ Wa kwanza afrodenzi, huyo kwa majibu yake tu ananonesha hii nyuzi imemgusa pabaya sana, maana akitazama avatar yake na yeye alivyo, ni kama mchana na usiku. Kwi kwi kwi kwi.
 
naona jina langu limekukaa sana..

nimekwambia uweke ukweli wa mambo
hadharani na uache umbea mwanaume wewe.

haya mi niko ka usiku na mchana at least na
Vaa sketi .. we mwanaume mzima utafungwa
kanga moja .. endelea kuwashwa na mdomo wako huo ...
 
Kama unataka ukweli weka picha yako tukuone. Unakasirika nini? utakuta wewe na hiyo ni mchana na usiku.

kwanini kukiwa kuna kachembe ya ukweli huwa mnakuwa wakali? kwi kwi kwi kwiiii kwi.

Mie nimeshasema siiweki kwa kuwa sio handsome na siweki picha ya mtu mwingine kujifanya ndio mimi.

Wewe ungekuwa mzuri namna hii, saa hizi ungekaa unalalama JF, ungekuwa kwenye ma apoointment ya shooting na modelling huko kwa wenye kujuwa uzuri ni nini:
 
Back
Top Bottom